007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
Wakuu Masada jinsi ya kudanlod series ktk pc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Dah hatar sn hii kitu,sema kuna kitu kinaitwa A man called God,aisee ni hatari sana,vipi ushawahai kuicheki mkuu?
jaman mimi napenda sana action.....sipendi za mapenzi....nipeni action mpya mpya niangalie coz nipo free mwezi ujao mzima
tayali
Mkuu 007 De Souza Angalia tena first post... naona mods wameiongezea nyama! zipo links uzitakazo..
worrior baek dong so umeichek?ZILE ZA MAPANGA NA MISHALE.... ZA VIJIJINI NDIO NAZIPENDA ZAIDI.... NIMEANGALIA ZA KIMJINI LAKINI HAZININYEGESHI KAMA ZA VIJIJINI.... UNAKUTANA NA MTAMBO DAEGIL KWENYE CHUNO(slave hunter).... BIDAM (SEONDEOK)... MARO(LAND OF THE WIND) ...JANG BOGO(EMPEROR OF TH SEA)... za vijijini nazipenda sana
worrior baek dong so umeichek?
those are my fav...plus jumong