Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu 007 De Souza Angalia tena first post... naona mods wameiongezea nyama! zipo links uzitakazo..
 
Last edited by a moderator:
jaman mimi napenda sana action.....sipendi za mapenzi....nipeni action mpya mpya niangalie coz nipo free mwezi ujao mzima
 
ZILE ZA MAPANGA NA MISHALE.... ZA VIJIJINI NDIO NAZIPENDA ZAIDI.... NIMEANGALIA ZA KIMJINI LAKINI HAZININYEGESHI KAMA ZA VIJIJINI.... UNAKUTANA NA MTAMBO DAEGIL KWENYE CHUNO(slave hunter).... BIDAM (SEONDEOK)... MARO(LAND OF THE WIND) ...JANG BOGO(EMPEROR OF TH SEA)... za vijijini nazipenda sana
 
worrior baek dong so umeichek?
 
worrior baek dong so umeichek?

WORRIOR BAEK DONG SOO nimeicheki..... si ile ana master wake flani anapoteza mkono mmoja alikua best swordman......!!!!

ila wazeee kuna jammaaa anaitwa AJIKAI kwenye KING GEUNCHOGO....aseee yule jamaaa ni nyoko kwenye fitina mipango ni hatari afu kanafiki kinoma...nilikachukia ila ikabidi tu nikapende
 
yeah yenyewe naipendaga sana. geunchogo ninayo inanipaga uvivu kuichek kumbe ninzur???
 
Mwenye Great Queen Seon Duk au Land Of Wind naomba anipm niweze kuipata...

#Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom