Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Fanya hivyo soon basi jamani?
Maana hapa namalizia Faith,sijui nianze na ipi maana ni nyingi mno.
Ungeweza kunichagulia moja aliyocheza my favourite actor of all time II Guk Sung (Jumong) ningefurahi sana.
Achana na Jumong,emperor of the sea,Kingdom of Wind nishacheki zote.
nifah hebu nielekeze jinsi ya kudownload korean drama,na software yake please!!
 
nifah hebu nielekeze jinsi ya kudownload korean drama,na software yake please!!
Kuna hawa jamaa: Asian Drama - Movies and Shows Hao hawana collection nyingi lakini walizonazo zipo kwenye good quality. Likewise, kuna dramafire.com. Hao wana collection za kutosha lakini hazina quality nzuri compared to myasiantv. Dramafire ni wazuri interms of budgets coz' ma-file yake yamezidi sana 150 MB. Zote unatakiwa kuwa na Internet Download Manager.
 
Ooh God!
Nimemaliza kuangalia HONG DIL GONG,
Machozi yamenitoka, sipendi kuangalia Movie hlf Star afe.
:'(
 
Habari
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa series hasa za kikorea. Nimeshaangalia baadhi na zikanibamba Sana.
1)Iris
2)A man called God
3)Jumong
4)Bridal mask
5)Banshee
Hizo hapo juu ndiyo zilizonivutia Sana. Karibu na wewe uweke za kwako tufurahi pamoja.
 
Iris hasa iris i
Ivi inaendelea? Niliishia iris ii ep12
 
nimeangalia nyingi mno ila sijui kwanini sijapata ya kunibamba kama GIANT
 
nimeangalia nyingi mno ila sijui kwanini sijapata ya kunibamba kama GIANT
Mkuu GIANT ni Kali Sana japo sijaimaliza niko naiangalia. Mkuu niwekee nami least yako nitafute ambazo sijaona.
 
Mkuu GIANT ni Kali Sana japo sijaimaliza niko naiangalia. Mkuu niwekee nami least yako nitafute ambazo sijaona.
three days, king gwaengo, iljimae, swallow the sun, ngoja nikumention sehemu utaenjoy
 
Mkuu kuna muendelezo wa Jumong inaitwa "THE WIND OF LAND" kama sikosei, hapa capten Jumong anakuja kama mjukuu wa Jumong na Yuri ndiye baba wa Jumong, yani ni shida tupu, Daeso kama kawa na unyama wake!!!
 
Back
Top Bottom