Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimeona swallow the sun tu.three days, king gwaengo, iljimae, swallow the sun, ngoja nikumention sehemu utaenjoy
Hii nilishaiona.wakorea wanatisha kwa seriesMkuu kuna muendelezo wa Jumong inaitwa "THE WIND OF LAND" kama sikosei, hapa capten Jumong anakuja kama mjukuu wa Jumong na Yuri ndiye baba wa Jumong, yani ni shida tupu, Daeso kama kawa na unyama wake!!!
Hii ya pili nitaitafutaChief,The Giant haina mpinzani,bahati mbaya nimeishia season 1
Kuna nyingine ya The Janson gunman nayo haipo nyumu.
Wakorea wanajua jamani.
personal testHabari
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa series hasa za kikorea. Nimeshaangalia baadhi na zikanibamba Sana.
1)Iris
2)A man called God
3)Jumong
4)Bridal mask
5)Banshee
Hizo hapo juu ndiyo zilizonivutia Sana. Karibu na wewe uweke za kwako tufurahi pamoja.
Tupa website yake hapaNaangalia korean series ya 2013 inaitwa Arrows on the Bowstring daaaaah nimeipenda sana.
Hiyo ni kali sana,,Naangalia korean series ya 2013 inaitwa Arrows on the Bowstring daaaaah nimeipenda sana.
Sijaichukua ktk web nimenunua translated Dvd ina Cd moja tu yenye episode 42.Tupa website yake hapa
Hakufa,,alikuwepo mpaka kizazi kipyaOoh God!
Nimemaliza kuangalia HONG DIL GONG,
Machozi yamenitoka, sipendi kuangalia Movie hlf Star afe.
:'(
Nataka link ya kudownload hiyo dae joyong maana nilitafuta sana gooddrama.net lakin sikupataWewe Sasa Ndo Mtu Unayejua Vizuri Korean Sageuk Dramas.
Naona Wamekomalia Jumong(Song Il Gook)
Choi So Joong Ndie Mbabe Wao Na Ndie Aliezimaster Vizuri Sana Hizi Za Martial Arts Na Swordmanship.
Big Up We Are On The Same Boat.
Nilivyomuona Kwenye Emperor Of The Sea Sikumuappreciate Koz Ndo Ivyo Tulikua Bado Tumemzoea Song Il Gook Ia Baada Ya Kumuona Kwenye Dae Jo Young,The Great King's Dream Na Emperor Wang Guhn Ndo Nikajua Huyu Jamaa Was Born For This Shit.
What I Like About Him Is That He Is Very Serious And Determines As Real King Should Be.
Hakufa,,alikuwepo mpaka kizazi kipya
naitafuta sana hii...![]()
![]()
wazee wa tactician mimosa na shin hong hatari sanaaa katika daejoyoung
poapoa mkuu...DAEJOYOUNG NI BALAA MZIKI WA LI KAIGU NA DAEJOYOUNG.MIMOSA NA SHIN HONG NA KAKA YAKE
thanks mkuu...Wabaotaka kuiona Dae Joyoung watumie Watch Drama Online in HD for Free
poapoa mkuu...
kuna site moja nimeikuta iko full packed...
ngoja nianze kujipakulia mzigo..!
namkubali sana JANG BOGO
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app