Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naangalia korean series ya 2013 inaitwa Arrows on the Bowstring daaaaah nimeipenda sana.
 
Pata hii External HDD ikiwa na Series za Western 40. Kwa bei ya kutupa

0715-240140

ImageUploadedByJamiiForums1456833707.500822.jpg
 
Mkuu kuna muendelezo wa Jumong inaitwa "THE WIND OF LAND" kama sikosei, hapa capten Jumong anakuja kama mjukuu wa Jumong na Yuri ndiye baba wa Jumong, yani ni shida tupu, Daeso kama kawa na unyama wake!!!
Hii nilishaiona.wakorea wanatisha kwa series
 
Habari
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa series hasa za kikorea. Nimeshaangalia baadhi na zikanibamba Sana.
1)Iris
2)A man called God
3)Jumong
4)Bridal mask
5)Banshee
Hizo hapo juu ndiyo zilizonivutia Sana. Karibu na wewe uweke za kwako tufurahi pamoja.
personal test
yi san
aisee hizo nazikubali kinomanoma
 
Wewe Sasa Ndo Mtu Unayejua Vizuri Korean Sageuk Dramas.
Naona Wamekomalia Jumong(Song Il Gook)
Choi So Joong Ndie Mbabe Wao Na Ndie Aliezimaster Vizuri Sana Hizi Za Martial Arts Na Swordmanship.
Big Up We Are On The Same Boat.
Nilivyomuona Kwenye Emperor Of The Sea Sikumuappreciate Koz Ndo Ivyo Tulikua Bado Tumemzoea Song Il Gook Ia Baada Ya Kumuona Kwenye Dae Jo Young,The Great King's Dream Na Emperor Wang Guhn Ndo Nikajua Huyu Jamaa Was Born For This Shit.
What I Like About Him Is That He Is Very Serious And Determines As Real King Should Be.
Nataka link ya kudownload hiyo dae joyong maana nilitafuta sana gooddrama.net lakin sikupata
 
Hakufa,,alikuwepo mpaka kizazi kipya

Hakufa?
Alikufa bwana,
Ila yule mtoto ndio walimtorosha pmj na master ili akamtrain aje kua kama Hong Dil Gong,

Km unakumbuka alimwambia Prince/King kua hata kama me nikifa, watakuja wakina Hong Dil Gong wengine, kizazi hadi kizazi.
 
napenda sana korean hasa za vijijini ilifikia mahali nikajua lugha yao kwa kuangalia hizi muvi japo saivi maneno mengi nakumbuka, jumong, emporer of the sea, nk kifup jumong is the king of traditional movie alivoanza za mjini nikampotezea
 
DAEJOYOUNG NI BALAA MZIKI WA LI KAIGU NA DAEJOYOUNG.MIMOSA NA SHIN HONG NA KAKA YAKE
poapoa mkuu...
kuna site moja nimeikuta iko full packed...
ngoja nianze kujipakulia mzigo..!
namkubali sana JANG BOGO

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Wapenzi mmeshaiona FROZEN FLOWER?
Mmh kiukweli sikutegemea kama wakorea watafikia huko,

Weka mbali na watoto
 
Back
Top Bottom