Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

I Wish Director Mmoja Anitengenezee SAGEUK Mpya Iwe Na Episodes Kama Mia Hivi. Hizi Za Viepisode Mara 24 Mara 40 Vinanikera Wanavifast -Forward Hadi Vinapoteza Reality.
Im Missing Some Jjangguuuuns Damn!
Na Kujua History Ya Korea Nako Kunanifanya Nakua Optimistic Bora Nisingekua Najua Kabisa.
Poor Me.
 
Ziko tamthilia za zamani za Korea (historical drama) zenye "episodes" zaidi ya 50 km 'age of warriors, wang gun, dae jo young, nk". Hizi husimulia matukio makubwa katika historia ya Korea katika vuguvuguza za kuunda taifa moja (Three Kingdom) au vita dhidi ya Wachina.
 
Nimeshaangalia Zote Hizo Bro. Yani Kuhusu History Ya Korea Hamna Drama Sijaangalia.
Ndio Maana Nataman Nipate Mpya.
Hii Six Flying Dragons Nayo Wamejitahidi.
Ngoja Nisubirie.
Izo Za Fantasy Na Fiction Sizipendagi Sana.
 
Goodbye Mr. Black, ebwana eeh ni kiboko, akili iliyotumika humu si mchezo, big up kwa mtunzi na waigizaji.
 
Nani anajua kama Jang keun suk kama ametoa mpya yoyote mwaka huu??, namkubali sana huyu hb ila sasa ana swaga za kike sana khaaah,
Damushinmuhyool, naomba unitafutie historia ya Jang Hyuk,
Nampenda sana huyu jamaa kuanzia kwenye Slave hunter, Tree with deep Roots (kama sijakosea) mpaka kwenye Fated to Love you, jamaa yuko makini sana.
 
Ziko tamthilia za zamani za Korea (historical drama) zenye "episodes" zaidi ya 50 km 'age of warriors, wang gun, dae jo young, nk". Hizi husimulia matukio makubwa katika historia ya Korea katika vuguvuguza za kuunda taifa moja (Three Kingdom) au vita dhidi ya Wachina.
three kingdom nzuri
nampenda teacher
cao cao simpendi[emoji24][emoji24]
namkubali sana yule zilong zou general na lord wake, liu bei
nmeiangalia mpaka ep55
sijapata mwendelezo..
sound track yao nzuri pia
 
Paka mwaka huu Iris is the best
Athena ndo mwisho wa matatizo babu. Nimeshaziona Iris, Man called god, Heartless city, city hunter na cruel romance lkn baba sijawahi ona kama ATHENA GODDES OF WAR. Ile movie ni balaa
 
Goodbye Mr. Black ni nzuri lkn tatizo inaboa Cha Ji won ana huruma sana utadhani katoka mbinguni
Hahahaha sasa angefanyaje jaman wakati alibakiza muda kidogo tu afe.

Me mule nimempenda zaidi Mr. Baek yani ana akili sana halafu hana papara na jambo.
 
angalia JACKPOT(the royal gambler) yeye ndie muigizaji mkuu baek dae gil,unajua hata mimi hawa waigizaji ambao ni waimbaji na mabishoo wananiboa sana.mimi mpaka leo nimeiacha sijaimalizia hii JACKPOT.
2346c6c9798b342a8f824f4c3ca101f5.jpg

kuhusu JANG HYUK mkuu ukienda google utapata alot of information about him,pia ingia au jisajili forums.soompi zipo thread za wasanii na mambo mbali mbali kuhusu korean entertainment.
ila kwa ufupi jamaa amezaliwa 1976.drama yake mpya 2016 inaitwa BEAUTIFUL MIND,THE MERCHANT GAEKJU(2015) SHINE OR GO CRAZY,IRIS 2,
images
Kwa kweli ubishoo umezidi duuh,
Nitaitafuta hiyo Jackpot,

Ooh ahsante kwa hiyo site nayo nitaitafuta pamoja na hiyo Shine or go Crazy.

Nashangaa nikitaka kuweka picha inakataa sijui tatizo nini hawa jf hawa!!!
 
Athena ndo mwisho wa matatizo babu. Nimeshaziona Iris, Man called god, Heartless city, city hunter na cruel romance lkn baba sijawahi ona kama ATHENA GODDES OF WAR. Ile movie ni balaa
athena mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
katika hizo list mana called God ni zaidi yao...huwezi fananisha man called God na athena..
athena kama city hunter...
series za kibishoo..
 
angalia JACKPOT(the royal gambler) yeye ndie muigizaji mkuu baek dae gil,unajua hata mimi hawa waigizaji ambao ni waimbaji na mabishoo wananiboa sana.mimi mpaka leo nimeiacha sijaimalizia hii JACKPOT.
2346c6c9798b342a8f824f4c3ca101f5.jpg

kuhusu JANG HYUK mkuu ukienda google utapata alot of information about him,pia ingia au jisajili forums.soompi zipo thread za wasanii na mambo mbali mbali kuhusu korean entertainment.
ila kwa ufupi jamaa amezaliwa 1976.drama yake mpya 2016 inaitwa BEAUTIFUL MIND,THE MERCHANT GAEKJU(2015) SHINE OR GO CRAZY,IRIS 2,
images
mabishoo wanaboa sana akina leemiho
daegil na jumong wanafanya kazi..
movie zao za kiume..
sijaiona tu hio merchant frm gaekju siipati na hii mpya ya beautful mind sijui inahusu madokta
 
Aigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa
AjaajaajaAJaaa queen of ambition ni kwereee mkuu
 
athena mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
katika hizo list mana called God ni zaidi yao...huwezi fananisha man called God na athena..
athena kama city hunter...
series za kibishoo..
Athena series ya kibishoo?
 
Back
Top Bottom