Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I Wish Director Mmoja Anitengenezee SAGEUK Mpya Iwe Na Episodes Kama Mia Hivi. Hizi Za Viepisode Mara 24 Mara 40 Vinanikera Wanavifast -Forward Hadi Vinapoteza Reality.
Im Missing Some Jjangguuuuns Damn!
Na Kujua History Ya Korea Nako Kunanifanya Nakua Optimistic Bora Nisingekua Najua Kabisa.
Poor Me.
Nimeshaangalia Zote Hizo Bro. Yani Kuhusu History Ya Korea Hamna Drama Sijaangalia.Ziko tamthilia za zamani za Korea (historical drama) zenye "episodes" zaidi ya 50 km 'age of warriors, wang gun, dae jo young, nk". Hizi husimulia matukio makubwa katika historia ya Korea katika vuguvuguza za kuunda taifa moja (Three Kingdom) au vita dhidi ya Wachina.
kaigiza sunghyunkwan scandalDescendants of the sun,
Wow! That handsome man *SONG JOONG-KI*
three kingdom nzuriZiko tamthilia za zamani za Korea (historical drama) zenye "episodes" zaidi ya 50 km 'age of warriors, wang gun, dae jo young, nk". Hizi husimulia matukio makubwa katika historia ya Korea katika vuguvuguza za kuunda taifa moja (Three Kingdom) au vita dhidi ya Wachina.
Yani ile handsome face inachanganya wengi kwa kweli.[emoji4] [emoji4]kaigiza sunghyunkwan scandal
kule ndo nilimpenda[emoji85]
Athena ndo mwisho wa matatizo babu. Nimeshaziona Iris, Man called god, Heartless city, city hunter na cruel romance lkn baba sijawahi ona kama ATHENA GODDES OF WAR. Ile movie ni balaaPaka mwaka huu Iris is the best
3 days ina mahudhui ganije umeshaangalia IRIS 2 pamoja na ATHENA.jaribu kuangalia na 3 days
Goodbye Mr. Black ni nzuri lkn tatizo inaboa Cha Ji won ana huruma sana utadhani katoka mbinguniGoodbye Mr. Black, ebwana eeh ni kiboko, akili iliyotumika humu si mchezo, big up kwa mtunzi na waigizaji.
Hahahaha sasa angefanyaje jaman wakati alibakiza muda kidogo tu afe.Goodbye Mr. Black ni nzuri lkn tatizo inaboa Cha Ji won ana huruma sana utadhani katoka mbinguni
Kwa kweli ubishoo umezidi duuh,angalia JACKPOT(the royal gambler) yeye ndie muigizaji mkuu baek dae gil,unajua hata mimi hawa waigizaji ambao ni waimbaji na mabishoo wananiboa sana.mimi mpaka leo nimeiacha sijaimalizia hii JACKPOT.
![]()
kuhusu JANG HYUK mkuu ukienda google utapata alot of information about him,pia ingia au jisajili forums.soompi zipo thread za wasanii na mambo mbali mbali kuhusu korean entertainment.
ila kwa ufupi jamaa amezaliwa 1976.drama yake mpya 2016 inaitwa BEAUTIFUL MIND,THE MERCHANT GAEKJU(2015) SHINE OR GO CRAZY,IRIS 2,
![]()
athena mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]Athena ndo mwisho wa matatizo babu. Nimeshaziona Iris, Man called god, Heartless city, city hunter na cruel romance lkn baba sijawahi ona kama ATHENA GODDES OF WAR. Ile movie ni balaa
shine or go crazy [emoji7][emoji7][emoji7]ametisha sana daegilKwa kweli ubishoo umezidi duuh,
Nitaitafuta hiyo Jackpot,
Ooh ahsante kwa hiyo site nayo nitaitafuta pamoja na hiyo Shine or go Crazy.
Nashangaa nikitaka kuweka picha inakataa sijui tatizo nini hawa jf hawa!!!
mabishoo wanaboa sana akina leemihoangalia JACKPOT(the royal gambler) yeye ndie muigizaji mkuu baek dae gil,unajua hata mimi hawa waigizaji ambao ni waimbaji na mabishoo wananiboa sana.mimi mpaka leo nimeiacha sijaimalizia hii JACKPOT.
![]()
kuhusu JANG HYUK mkuu ukienda google utapata alot of information about him,pia ingia au jisajili forums.soompi zipo thread za wasanii na mambo mbali mbali kuhusu korean entertainment.
ila kwa ufupi jamaa amezaliwa 1976.drama yake mpya 2016 inaitwa BEAUTIFUL MIND,THE MERCHANT GAEKJU(2015) SHINE OR GO CRAZY,IRIS 2,
![]()
AjaajaajaAJaaa queen of ambition ni kwereee mkuuAigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa
Athena series ya kibishoo?athena mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
katika hizo list mana called God ni zaidi yao...huwezi fananisha man called God na athena..
athena kama city hunter...
series za kibishoo..