Bado aijaisha Ila Mpka Apo ilipofikia, Naweza kusema aina Mapigano Sana ila Ina Mtiririko Mzuri wa Stori na Ina Mahaba Yasiyo ya juu sana,Mahaba yale yanayokufanya Uguswe Moyoni,
Ila ni Story inayowakutanisha ndugu wawili waliochangia Baba, Baba yao ni Mkuu wa nchi ila baada ya kifo chake aliacha wosia Kwenye Mwili wa Mwanamke ambaye bado ajafaamika ni Yupi,Na uo wosia ulikuwa unaelezea kuwa yule Mtoto Mdogo kati ya wale wawili ndo aje arithi kiti chake,Ila Mambo yalienda tofauti Na Visasi Vinaanza kwa yule Mkubwa Pamoja na wapambe wake Kumuwinda yule Mdogo kwa Nia ya Kumuua, Iyo ni kwa kifupi kwa Mengi Yaliyomo Umo, Nachokuahidi autajutia Bando Lako na Utapata full Package...Lakin kama Ni Mpenzi wa DRAMA Izo...