Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hmmmmm! Pole Nilikosa Nafasi Na Nilijua Utakuwa Ushaziona Sababu Mi sijaziona Nyingi Sana..
Basi poa uje uniandike hapa zilizo Kali Kama nitakuwa nimezichek Kati yaizo utakazo andika nitakwambia
 
Basi Iendee Iyo Iko Poa...
Ndio hii Ama?
fe1e55dc4975cc8d7fbd4eb79fcdc8a8.jpg
 
Nilimkubali Sana Mo Hyul, Hii Drama Nilikuaga Naangalia Na Dogo Langu Mmoja Ivi Yaani Mpka Leo Umwambia Kitu Kwa Moo Hyul,Ila Lee Bangi Ji Kacheza Sana Umu Ndani...Dooohh Nimejikuta Nawakumbuka Etiii
Halafu hawa jamaa n noma hv unajua huyu GIL TAE-MIL na GIL SUN-MIL ni m2 mmoja amecheza character mbili tofauti kwenye drama moja na 2kaonyeshwe kwenye scene 1 katokea mara2 angalia pale GIL tae mil akifa

Hatari sana
Mara ya kwanza nlzani ni mapacha ukweli ukweli kumbe nm2 mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unanishauri niitafute, sito juta ama?
Mm pia nakushauri uichek ina story na mtiririko wa matukio mzur na hata kunascene zita catch u're feelings

Ila km nm2 wakupenda action sana km mm kuna baadhi ya episode hazna action ila ukikuta yenye action hatari
 
Back
Top Bottom