Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

88d633e2gy1fi52gg5slzj228f1dbu0y.jpg

88d633e2gy1fi52gihu4mj22gd1my1l0.jpg

88d633e2gy1fi52gjtsvsj22gd1my7wk.jpg

88d633e2gy1fi52fqxrbsj22gd1myqv7.jpg
Mkuu hii nayo inaitwaje naona unatupia sana picha zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwa kila drama nayodownload

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili frozen flower hapa si aliliwa mtu kiukweli kabisa???
047d45faab1fe8e7eb1b03ab8a85402a.jpg
53b9b09def731de07ba8f5850ece6dd9.jpg
8abcae7662bafea3c91e06f4756950a8.jpg

mzee mzima haishiwi maneno
 
Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwa kila drama nayodownload

Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwak

Sent using Jamii Forums mobile app
Chini wap nieleweshe vizur mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lee-Jong-Suk1.jpg

Naona Ratiba Yake ya kwenda jeshini Imebadirika ''I feel apologetic because my enlistment is later than others that are my age, but I will work my hardest in fulfilling my military duty as a Korean man after I wrap up the work I have to do''
 
Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwa kila drama nayodownload

Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwak

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chini wapi hapo tuambie km Vp tuna na screenshot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom