Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Nimeiangalia Ila kuendelea kuiangalia APA ndo nawaza Wang Won anampenda Sana Lin na Anamchukulia kma Zaidi Ya Rafiki Ila Coz Ya San Lin Atamgeuka Won ndo Episode hii inayofatakwa nini hujaangalia?
wang won ana damu ya watu wa mongolia ndio maana anachukiwa