Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DJ-hum6V4AEqjQJ.jpg

KING LOVES CAST AND CREW VISITS SIWAN IN THE ARMY..
So Good..
Huyo Siwan anatumikia jeshi mbona kadogo
 
Jamani ninaomba kuuliza, naomba nifahamu list ya drama ambazo ziko kama jumong, yali zinaelezea lifetime ya MTU mfano jumong inaelezea kuanzia akiwa kijana hadi alipofikia malengo yake,

Majina Tu ya hizo drama yanatosha,
Natanguliza shukrani
 
Jamani kwa wapenzi was Korean drama majibu pls I'm a fun of this thread, tupeans taarifa jamani
 
muigizaji kim soo hyun leo hii amethibitisha ya kwamba atatumikia shughuli za kijeshi ifikapo mwezi oktober 23 ila hatafanya mkutano maalum kwa ajili ya kuwaaga mashabiki wake.
kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na agent wake (keyeast) ni kwamba kim soo hyun anategemea kurudi uraiani mnamo (July /22/2019)
Kim_Soo-hyun_2014_PaekSang_Arts_Awards06b.jpg
 
Back
Top Bottom