Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Inaitwa BLACKImakwenda kwa tittle gani aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa BLACKImakwenda kwa tittle gani aisee!
BLACKInaitwaje
Uwe unakumbuka kusema mwanzo unapo elezea si mpaka uulizwe, Tom ww.Inaitwa BLACK
Hii Ni Pendekezo Ama???Uwe unakumbuka kusema mwanzo unapo elezea si mpaka uulizwe, Tom ww.
Upo Kumbe,!Uwe unakumbuka kusema mwanzo unapo elezea si mpaka uulizwe, Tom ww.
UkumbushoHii Ni Pendekezo Ama???
Shukria Kwa Ujari Wako, UbarikiweUkumbusho
Chonde usijeanza kutamani mume wa jirani yako[emoji13]![]()
![]()
Hii Kitu,Hii Kitu! Hii Kitu Lalalalalalala, Nimejikuta kuona Kesho Mbali...
Sijawahi Kuona Drama Yeyote Toka OCN, Hii Ndo Yangu Ya Kwanza God....
Itafuteni Ni Drama Ya Kutuliza Akili Kidogo, Drama Ya Kukufanya Uwe na Sura Ya Mkazo Wakati Unaitazama Ili Lisikupite Ata Neno Moja NA Ni Drama Inayochanganya, Ni Inachanganyaa Kabisaaa Kwa Izi Episode 2 Si ya Mchelemchele Hii.....
Recommend...
Kwanza Umemuona Kuanzia Pale Kwa Shingo Mpaka Kwa Mkanda( Hahaahahahahah Natania)...Chonde usijeanza kutamani mume wa jirani yako[emoji13]
[emoji23] [emoji23] kama si mkorea? Unamaanisha wanaume wakorea sio wahendasam? Nakupa tu tahadhari tusijeshikana mashatiKwanza Umemuona Kuanzia Pale Kwa Shingo Mpaka Kwa Mkanda( Hahaahahahahah Natania)...
Ila Mi Nilisema Mpaka Wale Wawili Wanichoke ndo Nitaanza Kwa Mwengine Ila Uyu Nae Yuko Poa Kama Si Mkorea...
Ok(Kam-sa-ham-ni-da)The moon embracing the sun
Dream High
Zingine sijaziona
Ni Mahendasam Ndomana Ninao Wale Wawili...[emoji23] [emoji23] kama si mkorea? Unamaanisha wanaume wakorea sio wahendasam? Nakupa tu tahadhari tusijeshikana mashati
Duh! Hiyo suspicious parter mie ndiyo niliishia ep ya 4 au 5.Wengine tumeishia ep 38, Mlkuu!
Nahisi K2 kapiga hatua 3 nyuma kwenye hiyo drama ya Suspicious Patner.
Kwenye Legend of the Blue Sea, Minoz naye kaniangusha mno! Sikutegemea....
OCN sio sana za mapenzi hawa,mie nimepata kuiona nyengine inaitwa 타널(Tunnel).![]()
![]()
Hii Kitu,Hii Kitu! Hii Kitu Lalalalalalala, Nimejikuta kuona Kesho Mbali...
Sijawahi Kuona Drama Yeyote Toka OCN, Hii Ndo Yangu Ya Kwanza God....
Itafuteni Ni Drama Ya Kutuliza Akili Kidogo, Drama Ya Kukufanya Uwe na Sura Ya Mkazo Wakati Unaitazama Ili Lisikupite Ata Neno Moja NA Ni Drama Inayochanganya, Ni Inachanganyaa Kabisaaa Kwa Izi Episode 2 Si ya Mchelemchele Hii.....
Recommend...
Hahaa mimi nimezoea kubanana ila niachie hapo puliizKwaiyo Jumla Tuko Watatu Ama!?? Hahahahah
Inabidi Tubanane Tuuh Hakuna Jinsi ..
Kwa nini mkuu mbona bonge moja la drama?Duh! Hiyo suspicious parter mie ndiyo niliishia ep ya 4 au 5.
Ah ujue hata huko kuamua kuangalia ni kwa sababu ya Ji Chang-wook,ila pia nikaona haikunivuatia uchale ulizidi sana.Kwa nini mkuu mbona bonge moja la drama?