Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

2_(2).JPG

1_(2).JPG

5_(9).JPG

11_(2).JPG

12_20170819__(129).jpg

6_(5).JPG

5_(3).JPG

DSC08987.JPG

_1_(3).JPG

3_(4).JPG
 
black0101927.jpg

black0203051.jpg

Hii Kitu,Hii Kitu! Hii Kitu Lalalalalalala, Nimejikuta kuona Kesho Mbali...

Sijawahi Kuona Drama Yeyote Toka OCN, Hii Ndo Yangu Ya Kwanza God....

Itafuteni Ni Drama Ya Kutuliza Akili Kidogo, Drama Ya Kukufanya Uwe na Sura Ya Mkazo Wakati Unaitazama Ili Lisikupite Ata Neno Moja NA Ni Drama Inayochanganya, Ni Inachanganyaa Kabisaaa Kwa Izi Episode 2 Si ya Mchelemchele Hii.....

Recommend...
Chonde usijeanza kutamani mume wa jirani yako[emoji13]
 
Kwanza Umemuona Kuanzia Pale Kwa Shingo Mpaka Kwa Mkanda( Hahaahahahahah Natania)...

Ila Mi Nilisema Mpaka Wale Wawili Wanichoke ndo Nitaanza Kwa Mwengine Ila Uyu Nae Yuko Poa Kama Si Mkorea...
 
[emoji23] [emoji23] kama si mkorea? Unamaanisha wanaume wakorea sio wahendasam? Nakupa tu tahadhari tusijeshikana mashati
 
black0101927.jpg

black0203051.jpg

Hii Kitu,Hii Kitu! Hii Kitu Lalalalalalala, Nimejikuta kuona Kesho Mbali...

Sijawahi Kuona Drama Yeyote Toka OCN, Hii Ndo Yangu Ya Kwanza God....

Itafuteni Ni Drama Ya Kutuliza Akili Kidogo, Drama Ya Kukufanya Uwe na Sura Ya Mkazo Wakati Unaitazama Ili Lisikupite Ata Neno Moja NA Ni Drama Inayochanganya, Ni Inachanganyaa Kabisaaa Kwa Izi Episode 2 Si ya Mchelemchele Hii.....

Recommend...
OCN sio sana za mapenzi hawa,mie nimepata kuiona nyengine inaitwa 타널(Tunnel).
 
Back
Top Bottom