Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina Ndo Hilo Au Umekosea Uyo Lee Ji Hoon Ajacheza Glass Mask..Kuna jamaa anaitwa Lee Ji Hoo alicheza glass mask ya 2012 as a prosecutor ningependa kujua alicheza drama ipi nyinginge!??
Ahsante sana mkuu,.huyu home tunamuita oppa,huna picha za zaidi hata 2,3 hivi[emoji4]![]()
- oh my geum bi
- jang yeong sil
- you are the best
- my daughter the flower
wala sitaki vita nae just namba tuu[emoji12] [emoji85] nataka nijue anatoka lini jeshini....Khantwe kuna mtu anataka vita na wewe huku
noona wapo wawili wanafanana majina yao
![]()
Ohooooo[emoji22]miaka 2 ijayo
Labda majina yanafanana,au nimekosea spelling lakini amecheza glass mask na ni huyo wa picha ya chini....Jina Ndo Hilo Au Umekosea Uyo Lee Ji Hoon Ajacheza Glass Mask..
Au Mi Ndo Nimekosea...
Anhaaa, Yah Nimekupata Binti...Labda majina yanafanana,au nimekosea spelling lakini amecheza glass mask na ni huyo wa picha ya chini....
Damushin Dahh!! Mpkaa Nimejisikia Vibaya Yaani Kweli Kabisaa Nilipanga Ichi Kitu Kabisaaaaa Ila Baada Ya Kuona Trending Ya Twitter Kuhusu Hii Ya SongSongWedding Ikanifanya Nihame Mazima Yaani Ila Ngoja Kwanza Nikaombe Samahani...aminas nahisi kazi imekushinda nakumbuka ulisema harusi ya song couple hutaiweka kwenye akili yako kulinganisha na kurudi jeshini lee seung gi.
umeniangusha sana leo.
![]()
![]()
![]()
![]()
Na ww unataman![]()
Anaonekana mwenye Furaha, Ndoto ya kila Mtoto wa kike Ata huwe na Ela kiasi gani Ichi ndo kitu kitakachokupa furaha zaidi ya Vengine...
Hongera Zake
Ww ndio umekoseaJina Ndo Hilo Au Umekosea Uyo Lee Ji Hoon Ajacheza Glass Mask..
Au Mi Ndo Nimekosea...
Una Hakika??Na ww unataman
AyaWw ndio umekosea