Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

1509410881.jpg

DNcHpcyVAAEM1md.jpg

Forever By His Side, Popote Alipo Uyu Mama Yupo Lol!!
 
omo omo omo ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta thread nyengine nzuri za kuchangia hivyo basi naomba unisaidie hyungnim kutafuta.
omo omo nishakuwa 'hyung" tena hahahaha! Sunbae-nim acha hizo mimi ni dongsae wako.. LOL

Sunbae mimi si mchangiaji wa thread nyingi lakini mara nyingi nikiingia JF nakuwa mtazamaji kwenye majukwaa ya Entertainment (Thread ya KDrama), Jamii Intelligence, International Forum, Celebrities Forum, na JF Store.
 
heri ya kuzaliwa iwe kwako mwanadada jeon ji hyun kwa kutimiza miaka 36 siku ya jana. mmoja kati ya waigizaji wanaotengeneza fedha nyingi sana kupitia sanaa ya uigizaji na mikataba ya kibiashara.
graphics-happy-birthday-161793.gif

tumblr_oym7lxJYG01rk7jugo2_1280.jpg
 
Celebrity couple jung ji hoon (rain) na mwanadada kim tae hee wiki iliopita wametangaza kupata mtoto wa kike.
Rain aliandika maneno yafuatayo kupitia account yake ya instagram na twitter na kutuma picha hii
rain1-e1508930529242.png

Thank you… She is a beautiful princess ,We will raise her well to be a child that
helps the world”
wawili hao walifunga ndoa mwanzoni mwa mwaka huu na wanatajwa kama ni miongoni mwa celebrity couple tajiri nchini korea.
original.jpg

kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wawili hao wameamua kuhifadhi umbilical cord blood ya mtoto wao aliyezaliwa katika bank maalum ya kuhifadhia umbilical cord kwa ajili ya matumizi ya baadae.
cord blood stem inasemekana hutibu magonjwa kama vile leukemia,aplastic anemia na hodgkins disease
 
6 korean dramas November 2017
  1. MONEY FLOWER: itaonyeshwa na MBC pindi itakapomaliza good thief bad thief drama
    PicsArt_10-24-06.14.16.jpg
  2. MELOHOLIC : itakuwa ni drama ya pili ya mapenzi kuonyeshwa kupitia channel ya OCN baada ya my secret romance,itaonekana siku ya jumatatu na jumanne.
    Meloholic-P1.jpg
  3. I’M NOT A ROBOT: ingizo jengine jipya kupitia MBC kuanzia tarehe 8
    PicsArt_10-24-06.27.37.jpg
  4. NOTHING TO LOSE: itakapomaliza while you were sleeping ndipo itakapoanza drama hii kupitia SBS tv.baada ya queen for seven days yeon woo jin amerudi tena
    yeonwoojin_68a.jpg
  5. UNTOUCHABLE : jin goo alifanya vizuri sana ndani ya descendent of the sun akiwa muigizaji msaidizi. JTBC ndio watakaoonyesha drama hii.
    article.jpg


  6. DOUBTFUL VICTORY : baada ya rebel thief YOON KYUNG SANG amerudi tena, drama hii itaonyeshwa na kituo cha SBS tv pindi itakapomaliza Temperature of love mnamo tarehe 27
    maxresdefault.jpg

1, 4 & 6 Izi Zitanilazimu Kidogo...
Woo Jin Karudi Eeehh!!
 
Damushin Naangalia Angalia Party Ya Hawa Wanandoa Wa Leo Yaaani Iko Simple Sana Yaani Ukiona Nguo Alovaa Hye Kyo Iko Kawaida Japo Tutaambiwa Imegharimu Pesa NYINGI Ila Ni Party Ya Wao Na Marafiki Zao Wakaribu Tuuh Na Inaonekana Iko na Uchangamfu..
Song Hye Yuko Na Furaha Sana Muda Wote Ila Kaka Yangu Joong Ki yuko Na Aibu Sana Lol!!

Kuna Muigizaji Kutoka China Zhang Ziyi Yuko Karibu Sana Na Hye Kyo Ni Mashosti Hawa Itakuwa!

Ila Nimependa Usimple wa Harusi Yao Naifananisha Na Ile Ya Jae Hyeon Na Ku Hye Sun..
 
Naam wapendwa leo ngoja nitoe la moyoni. Kwa baadhi ya Korea Drama nilizo wahi kuzicheki aisee hii kitu inayoitwa King Gwanggaeto imenishika si mchezo yaani. Goma lina kila kitu yaani kuanzia Furaha, Huzuni, Ucheshi, Mapenzi ya dhati, Usaliti nakadhalika katika hivyo. Ukija sasa katika wahusika ndio pasua kichwa wapendwa aisee yule muhusika mkuu yuko very interested na kitu anayo fanya. Nimemkubali asilimia zote, jamaa ka act kama kweli yaani Dah kuna watu na watu yaani mchizi yuko serious na kile anafanya. Jamaniiiii yule mshikaji nimemuelewa kinoma Yaani Japo kwa Song il Gook atasubili sana. Damushin nipe jina la huyo jamaa angu maana si kwa serious ule katika kazi jamaa kanifunza mengi katika maisha. My dear aminas itafute hiyo ishu maana nakumbuka uliwahi kuniambia hujawahi ichek iko poa sana mtu wangu wa damu. Mwanzo nilikuwa naikubali sana Jumong lakin kwa Ishu hii atanisamehe Song il Gook. Goma likianza Hutaki liishe, hiz Ishu za vijijini ndio nazielewa aisee Damushin fanya kunipa link ya Queen Sedok......... (Sijuhi ata inaitwaje) aminas ndio anajua na ile ya Dae Jo Young hiz Ishu ndio nazitaka now. Thanks kwa kusoma.
 
Back
Top Bottom