Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

anigif1.gif

Zile Hasira za ndani Hutaki Zitoa Nje Na Iichi Ndo Chaenda Kutokea Big Up Sana kama kweli! kumbe ni Maigizo Lakini Anakionyesha Kile Kitendo Kiuhalisia..
 
6_(7).jpg

Ha Ram Unakera Yaani Hii Episode Umeeudhi Sana Ichi Kifo Umejitakia Unamfanya Bae Analia Tuuh...Umekuwa Mbishi Kama Huyu Mtu mjr95 Yaani Amekuwa Mtu Wa Kukumbusha Ukae Mbali Na Aya Mambo Lakini Uelewi Lol! Nimeumia Kweli Black Alivyokuwa Analia Daah! Hii Drama Nipe Break Basi Nakuwa Kama EMPTY
 
Nikifika huko nitakupa jibu
 
OCN wanazidi kunishika sasa kama Dr Luis Shika, Aisee wamekuja na hii kitu nyingine inaitwa Meloholic. Ni very romantic drama yaani nimeipenda balaa, humo utapata mafunzo kama ww ni domo zege na utajua namna ya kuishi na hawa viumbe wa upande mwingine. Hawa OCN si wa mchezo kabisa wamebadilisha style maana hawa jamaa kwenye action ndio ilikuwa zao saiz mpaka kwenye haya mambo yetu. UHURU JR hii kitu ni noma mkuu.

Angalizo ina kiss sio za nchi hii ni za Korea kwahyo kuwa Makin na unaye angalia nae.
 
Najua kisses za humo ni balaa japo sijaiangalia na nimeipenda story yake.
w
Ntajaribu kuichek.
 
daebak, nimemaliza kuangalia drama ya while you were sleeping baada ya miezi takribani mitatu tokea ianze kuonyeshwa kupitia kituo cha SBS. heshima kwake director oh choong hwan na muandishi park hye ryun kwa kazi ngumu ngumu walioifanya pamoja na timu nzima ya while you were sleeping.
lee jong suk, bae suzy, lee sang yeob, jung hae in, lee sang yeob na wengineo uwepo wao humu ilikuwa ni burudani na elimu tosha kwangu mimi hususan kwenye maisha yangu ya kila siku ninayoishi kwa sababu kupitia drama hii niliweza kucheka peke yangu na kulia na kuhuzunika peke yangu kana kwamba matukio ya humu ndani ni ya ukweli.
83XWyas.jpg

kila aliyeangalia drama hii atakuwa na muigizaji aliyemvutia zaidi kiupande wake hivyo basi kwangu mimi muigizaji jung hae in (han woo tak) alikuwa ndiye muigizaji aliyenifanya niwe nahamu zaidi ya kuifatilia drama hii na natamani na yeye kuanzia sasa apate offer ya kuigiza kama muigizaji mkuu.

pia nitakuwa muongo kama nitashindwa kutoa pongezi zangu kwa muigizaji veterani lee ki young, min sung wook,mwanamama bae hye sun,veterani actor kim won hae na mwanadada ko sung hee hawa wote kwa kushirikiana na waigizaji wengine hususani kwenye timu yao ya waendesha mashitaka walikuwa ni burudani tosha, hahahaaaaaa nimependa sana lile busu la harusini kati ya mwanamama bae hye sun na min sung wook.
 
Back
Top Bottom