Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

baada ya miezi takribani 18 kupita hatimae leo hii mahakama imemtia hatiani mwanamke wa pili (anafahamika kwa herufi B) ambaye alimfungulia mashitaka muigizaji na muimbaji park yoo chun kwa tuhuma za kumfanyia vitendo vya udhalilishaji, hatimae mahakama imeyakataa madai ya mwanadada huyo kwani ni ya uongo
tokea mwezi june 2016 park alijikuta akiingia matatizoni baada ya wanawake wanne tofauti kumfungulia mashitaka ya unyanyasaji wa kijinsia (sexual assault) lakini mashitaka yote hayo amekutikana bila ya hatia.
october 26 mwanamke wa kwanza ( miss A) aliyemfungulia mashtaka muigizaji huyo pamoja na mchumba wake mr lee na mjomba wake mr hwang mahakama iliwahukumu kutumikia gerezani ambapo mwanadada alihukumiwa kifungo cha miezi 20, boyfriend wake alihukumiwa kifungo cha miezi 18 na mjomba wake miezi 24.
park-yoo-chun-xpn.jpg
Huyu jamaa alifanya nishindwe kuimalizia ile drama ya I miss you,alikuwa ananiboa.
 
Dramafire Ina shida Gani Jamani Inaniletea Mauza uza Tuuh,
Hwayugi Imeanza kwa wanaotaka Ifatilia.
 
Nataka kuiangalia Hwayugi ya le swung ji Lakini mpka muda Huu aijawa Sub nalifresh muda wote lakini bado.
 
Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???
 
Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
We umeipata site Gani Nahisi Kama njaaa APA Jinsi ninavyoisubiri Mpka bando lataka isha etiii
 
Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???
Kama kawaida yangu! Episode zangu ninazo-download huwa ni raw (hazina subs).

So, hiyo episode 1 nimeidownload toka alfajiri huku nikisubiria subtitle yake itoke.

Mida kama ya saa 10 leo ndio imetoka kutoka Viki ila kuna vijipande bado havijawa subbed yaani iko 95% subbed.
Sub yenyewe ni hiyo hapo.

Subscene - A Korean Odyssey (Hwayugi / 화유기) English subtitle
 
Back
Top Bottom