Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama liimegoma kifunguka basi itakuwa hauna application ya kulifungua.
Hivyo, ingia Play Store kisha install applicarion yenye jina "ZArchiver".

Halafu jaribu kuilfungua tena ukimaliza kui-install hiyo app. Imekubali kufunguka?
 
  1. rebel thief who stole the people nimeishia episode ya 10 na anayenifanya niwe mvivu ni muigizaji mkuu yoon kyung sang namuona bado ni muigizaji anayestahili kuendelea kuigiza kama muigizaji msaidizi kama ilivyokuwa kwenye six flying dragons na faith ila nimempenda sana kim sang joon (mzee ahmogae). hata kwenye doubtful victory namuona bado hajabadilika licha ya kuwa ameigiza tena nafasi ya muigizaji mkuu. hahahahaaaaa inawezekana nina chuki naye binafsi utafikiri kanichukulia mwanamke wangu.
  2. laiti kama money flower ingelianza kuonyeshwa kuanzia mwezi wa 10 naamini ingelikuwa rahisi kushinda tunzo ya best drama. Jang hyuk na timu nzima wanafanya kazi nzuri sana, kwa sababu mpaka tarehe 30 itakuwa imefika episode ya 14
  3. kwenye majina ya wawaniaji tunzo kwa wanaume sijamuona im siwan labda kwa kuwa yupo jeshini
  4. kwangu mimi kings love ndio MBC best drama kwa mwaka 2017
  5. yoona anastahili tunzo ya best actress kwa wanawake amefanya vizuri sana kwenye kings love.
  6. ningependa jang hyuk ashinde tunzo kwa upande wa wanaume ya best actor na si yoo seung hoo wala yoon kyung san.

Mkuu hebu nipatie website ya kudonwload hizi mambo maana hii myasiantv na dramabus kwa sasa naona hawanipi ushirikianno mzuri idm inashindwa kudonwload kabisa
 
Mkuu hebu nipatie website ya kudonwload hizi mambo maana hii myasiantv na dramabus kwa sasa naona hawanipi ushirikianno mzuri idm inashindwa kudonwload kabisa

Mkuu,
Ingia hapo kwenye link utakutana na links tele za KDrama.

Bofya hapa.
 
Damushin Anyeonghaseyo Naona Kuna Izi Show Wanazifanya Izi Televisioni Za Korea Ikiwemo SBS Ambayo Hii Show Yao ndo Imeanza Na Ikifuatiwa Na MBC Na KBS, Zinakuaje Izi Nimshindwa Kuzielewa Etii! Nilikuwa Najua Ndo zile AWARDS Zao!
 
Back
Top Bottom