Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yah itapendeza.
Hihihihi.
Ila bae lazima na Kama kutakuwa na ile couple awards Wanaweza chukua pia.
Awards za Jana awakuwa na Iyo Couple award.
noona sbs drama awards nao wana category nyingi sana na halafu mwaka huu wana drama nyingi sana zilizofanya vizuri, sijaangalia suspicious partner ila nitakuwa wa mwisho kuamini ya kwamba ji chang wook atashinda grand prize (daesang awards), labda category nyenginezo atashinda. waigizaji 16 wanawania tunzo ya daesang awards kupitia sbs drama awards
  1. ji sung na uhm ki joon : kupitia defendant drama, sijaiangalia ila huenda ikashinda tunzo kwa sababu ilikuwa na rate kubwa sana.
    02-03.jpg
  2. lee bo young na lee sang yoon : so cute, lee bo young ni mke halali wa ji sung naye pia anawania tunzo ya daesang kupitia drama ya whisper. hii pia sijaiangalia.
    lee-bo-young-lee-sang-yoon-e1484828740905.jpg
  3. nam goong min na yoon joon sang : kupitia drama ya distorted. hii pia siajiangalia, ila nam goong min sijui atahudhuria sherehe ipi kwa sababu kbs drama awards pia anawania kipengele cha grand prize kupitia drama ya chief kim. sijaiangalia ila ilikuwa na rate kubwa sana na huenda akashinda daesang kupitia drama hii.
    DFKH0_pWsAACrvz.jpg
  4. lee young ae : kupitia drama ya saimdang lights diary,ila sijui kwanini mtu wake mjr95 hagombanii tunzo hii wakati alikuwa ni muigizaji mkuu wa kiume, namzungumzia song seung hun (black). pia drama hii sijaiangalia.
    201708210953777402_599a30155ca45.jpg
  5. joo won na oh yeon soo : kupitia drama ya my sassy girl, niliishia episode ya 3
    Sassy-Girl-Joo-Won-Oh-Yeon-Seo.jpg
  6. lee jong suk na bae suzy : kupitia drama ya while you were sleeping.
    8f5b40611a147490a978daedebcd39cbca16d62c_hq.jpg
  7. seo hyun jin: mmoja kati ya wanadada niliochelewa kuwafahamu katika ulimwengu wa korea drama, drama ya temperature of love ndio inayomfanya agombanie tunzo ya daesang, japokuwa sijaimaliza ila nadhani kwa waigizaji wa kike wengi huyu dada hawamuwezi labda kwa kuwa si idols ndio maana alikuwa hapewi heshima kubwa sana mwanzoni ila kwa sasa offer zinamfuata mwenyewe, bado naiangalia romantic doctor teacher kim kwa ajili yake.
    050515_seo-hyun-jin_03.jpg
 
Hihihihi! Sunbae ushaanza utabiri wako.

Kwani lazima mchangiaji atoke kwenye familia?
hahahahhahaaaaa kwenye drama lazima atokeee kwenye ukoo wa jang wamiliki wa cheong A ila kwenye maisha hata mbuzi anaweza kumchangia damu mwanadamu (natania)
 
Tumia VPN, Mkuu.
Hapo maana yake ni kuwa hiyo video hauwezi kuitazama 'sababu unatokea Tanzania. Hihihihi!

Au tutajie jina lake nikupe alternative sources ikiwezekana.
Ebu fafanua Vizuri iyo VPN Naipataje!??
 
Ebu fafanua Vizuri iyo VPN Naipataje!??
Kwa sasa video huwezi kuitazama 'sababu unatokea Tanzania hivyo VPN itaidanganya Viki kuwa unatokea nchi nyengine, mfano Marekani.

Chakufanya ni kuingia Play Store kisha uta-search hilo neno "VPN'.
Zitakuja applications tele za VPN ila anza kwa ku-install moja inaitwa "Betternet".

Jaribu hiyo halafu nipe mrejesho ikizingua nikupe nyengine.
 
noona sbs drama awards nao wana category nyingi sana na halafu mwaka huu wana drama nyingi sana zilizofanya vizuri, sijaangalia suspicious partner ila nitakuwa wa mwisho kuamini ya kwamba ji chang wook atashinda grand prize (daesang awards), labda category nyenginezo atashinda. waigizaji 16 wanawania tunzo ya daesang awards kupitia sbs drama awards
  1. ji sung na uhm ki joon : kupitia defendant drama, sijaiangalia ila huenda ikashinda tunzo kwa sababu ilikuwa na rate kubwa sana.
    02-03.jpg
  2. lee bo young na lee sang yoon : so cute, lee bo young ni mke halali wa ji sung naye pia anawania tunzo ya daesang kupitia drama ya whisper. hii pia sijaiangalia.
    lee-bo-young-lee-sang-yoon-e1484828740905.jpg
  3. nam goong min na yoon joon sang : kupitia drama ya distorted. hii pia siajiangalia, ila nam goong min sijui atahudhuria sherehe ipi kwa sababu kbs drama awards pia anawania kipengele cha grand prize kupitia drama ya chief kim. sijaiangalia ila ilikuwa na rate kubwa sana na huenda akashinda daesang kupitia drama hii.
    DFKH0_pWsAACrvz.jpg
  4. lee young ae : kupitia drama ya saimdang lights diary,ila sijui kwanini mtu wake mjr95 hagombanii tunzo hii wakati alikuwa ni muigizaji mkuu wa kiume, namzungumzia song seung hun (black). pia drama hii sijaiangalia.
    201708210953777402_599a30155ca45.jpg
  5. joo won na oh yeon soo : kupitia drama ya my sassy girl, niliishia episode ya 3
    Sassy-Girl-Joo-Won-Oh-Yeon-Seo.jpg
  6. lee jong suk na bae suzy : kupitia drama ya while you were sleeping.
    8f5b40611a147490a978daedebcd39cbca16d62c_hq.jpg
  7. seo hyun jin: mmoja kati ya wanadada niliochelewa kuwafahamu katika ulimwengu wa korea drama, drama ya temperature of love ndio inayomfanya agombanie tunzo ya daesang, japokuwa sijaimaliza ila nadhani kwa waigizaji wa kike wengi huyu dada hawamuwezi labda kwa kuwa si idols ndio maana alikuwa hapewi heshima kubwa sana mwanzoni ila kwa sasa offer zinamfuata mwenyewe, bado naiangalia romantic doctor teacher kim kwa ajili yake.
    050515_seo-hyun-jin_03.jpg
Black lazima awapoteze maana alivyoigiza kwny saimdang haikuwa poa

sent using TV ya chogo
 
Jamaa wana wivu mpaka wananikera aisee unamuachaje mtu kama Song Seung Hun.? Ile kazi amefanya kwenye Black sio ya kitoto kabisa. Na hizo tunzo sito fatilia acha wajipe tu.
 
Female child Wako 5 Nominees,and the Awards Goes to Yi Rae wa Watch Court.
Hongera Zake.
 
Kwa SBS Nao Wameanza Na Child Awards Ambayo umeenda kwa Kim jin Min wa Super Family
Hongera Zake.
 
Supporting Actress kwa SBS Imeenda kwa Park jin Joo wa into the World Again
Hongera Zake.
 
Supporting Actor na Actress kwa KBS awa wameshinda Wawili.
Kwa Male Imeenda kwa Kim Sung Oh wa Fight for My Way na Choi Won Young Wa Mad Dog
Na Kwa Female imeenda kwa Jung Hye Sung Wa Man Hole na Lee il Hwa wa Chief Kim
Hongera Zao.
 
Back
Top Bottom