Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Best character kwa SBS imeenda kwa Doctor in Robot Nimetokea kumpenda uyu kaka Uhm ki Join kutoka katika Defendant
Hongera Zake.
 
DSYbbw4VAAEPzfP.jpg
 
Excellence in Acting, Monday-Tuesday Dramas (SBS drama).
Kwa mwanamme ameshinda Kwon Yool kupitia drama ya whisper, ameishukuru sana management yake inayomsimamia na kuahidi mwaka 2018 atafanya vizuri sana kama akipewa nafasi.
20171231142427_717524.jpg

kwa upande wa wanawake hongera kwake Park Se Young naye pia kupitia whisper drama.amesema zaidi ya kuwa na furaha pia anahisi woga kwa heshima kubwa aliyopewa,na mwishoni amewashukuru na kuwatakia kila la kheri
20171231143319_714983.jpg
 
Best character kwa SBS imeenda kwa Doctor in Robot Nimetokea kumpenda uyu kaka Uhm ki Join kutoka katika Defendant
Hongera Zake.
20171231144018_705449.jpg

It’s Best Character.. And I played a villain.. That’s a good thing, right?”
He kept his speech short, and personally thanked Ji Sung!
 
Back
Top Bottom