Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aigoooo ngoja nibadilishe stori


“Daehan called his brothers over and the triplets took a selfie all by themselves”
Song Il Gook
 
ni takribani miaka 5 tokea nianze kuwa mnywaji wa pombe kali ya korean drama na kadri ninavyoendelea kunywa cha kushangaza satisfaction inaongezeka tofauti na jinsi wachumi wanavyotuaminisha kama kadri unapo consume na satisfaction inapungua.
nahisi umefika wakati wa Damushin kupunguza au kuacha kabisa kunywa ulevi huu mkali ili kuendelea kudumisha afya yake, hivyo basi
  • kuanzia wiki ijayo akipenda Mungu nitakuwa nakunywa pombe chupa moja tu yenye ujazo kama wa chupa ya kahawa, naamini hii ni njia ya kwanza itakayonifanya nipunguze ulevi.
  • nitapunguza kutembelea baadhi ya bar zinazotoa huduma ya ulevi pendwa bila ya malipo yoyote, miongoni mwa bar ninazopenda kuzitembelea ni pamoja na dramanice, kissassian,dramacool, kshow, ikshow na bar nyenginezo.
  • nitapunguza kutembelea baadhi ya kuta zinazotoa matangazo na taarifa zinazohusu kuzalishwa kwa ulevi mpya ambao tokea nianze kunywa nimeshindwa kuachana nao,miongoni mwa kuta hizo ni pamoja na soompi, reddit,dramabeans,alkpop,soompi forum n.k
  • bila ya kuathiri vifungu vya hapo juu nitalazimika kumalizia kreti zangu takribani 40 ambazo nimezihifadhi kwenye store yangu ndipo niache kabisa kunywa ulevi huu pendwa.
  • nitalazimika kuwakimbia walevi wenzangu waliokubuhu kwenye ulevi huu kwani hii ndio njia nyengine itakayonisaidia nisipate taarifa zozote kuhusiana na kuzalishwa kwa ulevi mpya, aigoooo walevi wenzangu naomba munisamehe.
  • kubadili mfumo mzima wa kimaisha ndani ya nyumba hii kama vile kutokutembelea kabisa chumba hichi cha hatari na vile vile nisipokee simu yoyote yenye lengo la kunishawishi kutembelea chumba hichi (notifications).
  • je ! haya yote yatawezekana? wakati ambapo ulevi unaoitwa money flower,black knight, hwayugi ndio zinazidi kuninogea
  • EMPTY dongsaeng, aminas, mjr95 na walevi wengineo kama mumegundua njia nyengine japo ya asili ya kuacha ulevi huu basi tupeane taarifa.
  • hiii pombe ya leo imenifanya niwashwe washwe, niwe frustration na kuishia kutamani kukutana na rais wa korea ya kaskazini mwenye namba yake ya simu aiweke humu ndani.
  • mwisho nawaambia walevi wenzangu tuendeleze kunywa ulevi huu wa korean drama hadi hapo wapishi wa ulevi wa bongo movies watakapoweza kutengeneza ulevi wao kwa kiwango cha juu.
  • yote haya niliyoyaandika asilimia (x) nipo kwelini na asilimia (y) natania, hivyo basi wale wazee wa betting waje watabiri asilimia x ni ngapi na y ni ngapi, mshindi atapata nafasi ya kwenda joseon
Mkuu labda nikupe mbinu nayo tumia mm maana mi pia hiki kitu niliwaza toka mwaka jana kwasababu nilijua mwaka huu nitakuwa busy zaidi yake. Mm nimeanza mazoezi madogo madogo ya kujipa breki ama kuacha kabisa kufuatilia hizi Korea Drama japo si rahisi kama navyo andika.

Njia nayo tumia mm huenda ikawa tofauti kwako maana mm mda mwingi niko busy na kazi. Hiyo ratiba niliyo jiwekee imenifanya napitisha ata siku mbili sijaangalia drama yoyote ile japo ni ngumu kupitisha siku tatu. Jaribu kuwa busy na kile unafanya ama ukiona mda ule ukiwa busy zinakutawala penda kusoma vitabu mda huo hiyo nayo ni plan B yangu.
 
Sensory Couple
High School LoveOn
Pubetry Medley

Kwangu Hizo ndo ze best japokuwa sifatilii sana Korean Series [emoji440]
 
896f35f5243a9853f59f3107208ef570--korean-dramas-emperor.jpg

takribani wiki nzima iliopita nilikuwa naangalia drama ya emperor wang guhn (taejo wang guhn) ya mwaka 2000 yenye episode 200 ambayo ni kiporo changu cha muda mrefu sana,kihistoria wang guhn ndiye mfalme wa kwanza wa taifa la goryeo (koryeo) na aliingia madarakani baada ya kumpindua mfalme gongyae ambaye alikuwa ana tabia za kidikteta.
ndani ya wiki moja nilibahatika kuangalia kuanzia episode 90 hadi episode ya 122, kwa sasa nimeamua kuiweka tena kiporo kwa sababu upande wa kwanza wa maisha ya wang guhn nimesha ufahamu kwa sababu hadi episode ya 121 ndio anabeba madaraka. licha ya kuwa ni drama ya zamani lakini haikunichosha kuitazama kwa sababu hadithi yake ni ya kusisimua na cha kufurahisha zaidi nusu na robo ya stori yake ni ukweli mtupu yaani namaanisha matukio mengi yamerikodiwa kwenye vitabu vya kihistoria.

kuhusu kizidownload episode na kuziangalia baadae ilo suala nalifanya ila tatizo linakuja kwenye kuziangalia, kiukweli mzuka wa kuangalia ndio umepungua, napata tabu sana siku hizi.
  • money flower ndio drama pekee ambayo episode zake nikizodownload naziangalia muda huo huo,nakumbuka mwezi uliopita niliwahi kuandika natamani siku za wiki zipungue ili jumamosi ifike haraka nipate kuiangalia money flower.
  • hwayugi episode ya 3, 4 tayari nimezidownload tokea jumatatu lakini hakuna hata moja niliyoiangalia.
  • father is strange drama episode 4 za mwanzo tayari nimezidownload tokea siku ya jumatatu ya mwaka mpya lakini hadi leo sijaiangalia hata moja.
  • 2 cops drama hii imechangia kuwa mvivu wa kuangalia drama, baada ya kujilazimisha jana ndio nimefanikiwa kuendelea kuangalia episode ya 11,12,13,14. sitaiangalia tena.
  • the producer drama, ni drama ya 2015 ambayo ameigiza kim soo hyun kidogo hii ndio naweza kuiangalia japo kwa nusu saa, nimeishia episode ya 8.
  • defendant drama nimeidownload siku aliyotangazwa ji sung kuwa ni mshindi wa grand prize kupitia sbs drama awards, nakumbuka ilikuwa ni mwaka mpya lakini hadi leo sijaiangalia hata nusu episode.
  • kill me heal me nayo hivyo hivyo nimeidownload lakini mzuka wa kuiangalia sina
  • hadi leo goblin nimeishia episode ya 4 na kwenye pc ninayo mpaka mwisho.
  • black knight episode ya 9,10 kwenye pc ninazo lakini sijaziangalia.
  • temperature of love nilikuwa naipenda sana hii drama lakini nimeishia episode ya 16 na nahisi tabu kuiendeleza.
  • nadhani ni muda muafaka wa kuipumzisha akili labda mzuka unaweza kunirudia tena.
Aigooooo hiyo Emperor wang guhn nitaitafuta aisee. Ata kama niko kwenye mpango wa kuzikimbia hizi kazi lakini mm kwenye historical Drama ndio umenishika panapo staili kabisa. Tena mzigo una episodes nyingi hivyo ndio naangalia mpaka nalewa kabisa.
 
ukianzishwa uzi wa Chinese dramas tushtuane, maana ndio nazielewa wakaroea wakasome
 
Mkuu labda nikupe mbinu nayo tumia mm maana mi pia hiki kitu niliwaza toka mwaka jana kwasababu nilijua mwaka huu nitakuwa busy zaidi yake. Mm nimeanza mazoezi madogo madogo ya kujipa breki ama kuacha kabisa kufuatilia hizi Korea Drama japo si rahisi kama navyo andika.

Njia nayo tumia mm huenda ikawa tofauti kwako maana mm mda mwingi niko busy na kazi napata breki mda wa kula na kuswali. Hiyo ratiba niliyo jiwekee imenifanya napitisha ata siku mbili sijaangalia drama yoyote ile japo ni ngumu kupitisha siku tatu. Jaribu kuwa busy na kile unafanya ama ukiona mda ule ukiwa busy zinakutawala penda kusoma vitabu mda huo hiyo nayo ni plan B yangu.
ukiachana na korean drama unapenda jambo gani jengine?
 
Aigooooo hiyo Emperor wang guhn nitaitafuta aisee. Ata kama niko kwenye mpango wa kuzikimbia hizi kazi lakini mm kwenye historical Drama ndio umenishika panapo staili kabisa. Tena mzigo una episodes nyingi hivyo ndio naangalia mpaka nalewa kabisa.
ni nzuri sana hutajutia kuitazama ndani wamo magwiji wa historical drama
choi soo jong : anashikilia rekodi ya kuwa mshindi wa kbs daesang award mara tatu kupitia emperor wang guhn, emperor of the sea na king dae jo young
kim young chul : mshindi wa kbs daesang award 2017 na mwaka 2000 kupitia emperor wang guhn
 
ni nzuri sana hutajutia kuitazama ndani wamo magwiji wa historical drama
choi soo jong : anashikilia rekodi ya kuwa mshindi wa kbs daesang award mara tatu kupitia emperor wang guhn, emperor of the sea na king dae jo young
kim young chul : mshindi wa kbs daesang award 2017 na mwaka 2000 kupitia emperor wang guhn
Mkuu utanifaninya ni download saizi. Ngoja nitaanza kuishusha wiki ijayo, nashusha kama episodes 30 alafu natulia nazicheki kwanza kisha ndio nashusha zingine. Ile Dae Jo Young bado naisaka kwa udi na uvumba.
 
17 Dramas We Can’t Wait For In 2018
  1. Return :
    Two lawyers (Go Hyun Jung and Jung Eun Chae) take on a murder case where the suspects are members of the upper class, with a spirited detective (Lee Jin Wook) getting caught up in the case.
    “Return” will air on Wednesdays and Thursdays on SBS, starting on January 17.
    go-hyun-jung-lee-jin-wook.jpg
  2. Mother :
    The story of a substitute teacher (Lee Bo Young) who tries to help a neglected young girl in her class by taking her away.
    “Mother” will air on Wednesdays and Thursdays on tvN, starting on January 24
    mother1.jpg
  3. Radio Romance:
    A-list actor Ji Soo Ho (Yoon Doojoon), who can’t say a thing without a script, becomes the DJ for a radio show that never goes according to plan. The radio show is penned by hard-working scriptwriter Song Geu Rim (Kim So Hyun), who happens to be good at everything except writing scripts.

    “Radio Romance” will air on Mondays and Tuesdays on KBS2, starting on January 29.
    Kim-So-Hyun-Yoon-Doojoon1.jpg
  4. Cross :
    In order to get revenge for his father’s murder, Kang In Kyu (Go Kyung Pyo) becomes a doctor and then applies for a job at the institution where the murderer is imprisoned. He clashes with quirky hospital intern Go Ji In (Jun So Min).

    “Cross” will premiere on January 29 on tvN
    Cross.jpg

  5. Misty :
    Korea’s most popular anchorwoman (Kim Nam Joo) is a suspect in a murder case, and her husband (Ji Jin Hee) becomes her lawyer.

    “Misty” will premiere on February 2 on JTBC.
    ji-jin-hee-kim-nam-joo-misty1.jpg

  6. Should We Kiss First?:
    The realistic love stories of adults who no longer dream of romance. Kam Woo Sung plays lonely advertisement executive Son Moo Han, while Kim Sun Ah takes the role of flight attendant Ahn Soon Jin, whose daughter passed away unexpectedly. Oh Ji Ho’s character was Ahn Soon Jin’s first love and former husband, while Park Si Yeon plays his new wife Baek Ji Min.

    “Should We Kiss First?” will make its premiere in February on SBS.
    kam-woo-sung-kim-sun-ah.jpg

  • Mystery Queen 2:
    The beloved detective duo Yoo Seol Ok (Choi Kang Hee) and Ha Wan Seung (Kwon Sang Woo) returns for a second season of this crime-fighting drama.

    “Mystery Queen 2” is scheduled to premiere in mid-February.
    Kwon-Sang-Woo-Choi-Kang-Hee.jpg


  • Children of a Lesser God :
    Two detectives, one known as a genius that believes only the facts (Kang Ji Hwan) and the other having a supernatural ability to see what shouldn’t be seen (Kim Ok Bin), team up to uncover a conspiracy that involves a large organization.
    “Children of a Lesser God” is due to premiere in February on OCN.
    kim-ok-bin-kang-ji-hwan.jpg
  • That Man Oh Soo :
    Oh Soo (Lee Jong Hyun) is an IT company technician as well as a cafe owner and barista. He acts as a cupid-like figure with a magic powder, and he and police constable Seo Yu Ri (Kim So Eun) end up falling in love because of it.

    “That Man Oh Soo” will begin in March on OCN
    lee-jong-hyun-kim-so-eun.jpg
  • Good Witch:
    Lee Da Hae makes her return to Korean dramas with “Good Witch,” after three and a half years away. She plays Cha Doo Hee, a kind housewife, and Cha Sun Hee, her evil twin sister who works as a flight attendant, while Ryu Soo Young takes the role of daring co-pilot Song Woo Jin.

    “Good Witch” will be begin airing on SBS in March.

    good-witch-lee-da-hae-ryu-soo-young-an-woo-yeon-bae-soo-bin-yoon-se-ah.jpg
  • Live:
    A drama about the joys, sorrows, and pain of police officers as they try to preserve justice and protect valuable parts of everyday life. Rather than focusing on the crimes they deal with, the drama will tell the stories of the police officers themselves.

    “Live” is due to premiere in March on tvN.

    live.jpg
  • Grand Prince:
    Sung Ja Hyun (Jin Se Yeon) is a beautiful young woman living during the Joseon period who is loved by two princes, with one willing to kill the other to have her.
    “Grand Prince” will be airing in the first half of the year on TV Chosun.
    jin-se-yeon-joo-sang-wook-yoon-shi-yoon.jpg
  • My Ahjusshi:
    Three brothers are getting through hardships in their lives in their own individual ways, while a woman in her 20s is also struggling with what life throws at her. Lee Sun Gyun plays the second eldest brother Park Dong Hoon, while IU is taking the role of icy woman Lee Ji An.

    “My Ahjusshi” kicked off filming in December, and is expected to air in the first half of the year on tvN.
    iu-lee-sun-gyun.jpg
  • Are You Human Too?:
    When the young heir to a large conglomerate (Seo Kang Joon) falls into a coma after an accident, his mother constructs an android to take his place and hires a bodyguard (Gong Seung Yeon) to protect it.

    “Are You Human Too?” which has been produced entirely before its premiere and has been planned for over two years, will be airing in the first half of the year.

    are-you-human-too.png
  • Suits:
    In this remake of the American legal drama “Suits,” Jang Dong Gun plays impressive lawyer Choi Kyung Seo, while Park Hyung Sik takes the role of Go Yeon Woo, who’s recruited by Choi Kyung Seo for his amazing memory. Choi Kyung Seo is the Korean equivalent of the original show’s Harvey Specter, while Go Yeon Woo is the counterpart of Mike Ross.

    KBS is currently considering an April premiere for “Suits
    jang-dong-gun-park-hyung-sik1.jpg

  • Neighborhood Lawyer Jo Deul Ho 2:
    Park Shin Yang returns for a second season of this popular legal drama, which aired its first season in 2016.

    “Neighborhood Lawyer Jo Deul Ho 2” is expected to air on KBS in mid-2018
    neighborhood-lawyer-jo-deul-ho.jpg

  • Mr. Sunshine:
    After having boarded a warship to the United States in 1871, a Korean man returns to his homeland as an American soldier.
    This drama is the third that writer Kim Eun Sook and director Lee Eung Bok have worked on together, following “Descendants of the Sun” and “Goblin.”
“Mr. Sunshine” is due to premiere in late June or early July on tvN.
lee-byung-hun-kim-tae-ri1.jpg
 
ukianzishwa uzi wa Chinese dramas tushtuane, maana ndio nazielewa wakaroea wakasome
Mkuu ata ww unaweza anzisha sio mpaka mtu akuanzishie. We anzisha alafu ss tutakuwa wachangiaji ama wanao fuatilia hizo Chinese drama wakiona uzi huo hawato pita mbali. Pia ungetuwekea ni drama ipi nzuri upande huo ili tuitafute tuangalie na huko kukoje.
 
Back
Top Bottom