Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuhh!!! Wataka Angalia Izo Zote!???Asante sana! Ila umenisababishia kukesha maana huu mzigo bila nihgt bando hausogei hautoboi
duh mimi mpaka leo ni mshamba wa huduma za money transfer, haiwezekani fedha yangu mwenyewe nikiuliza salio nakatwa service charge. acha tu niendelee kuzifukia kwa kutumia alama ya mawingu kama mfalme juha.Hahahahahha! Leta Account No Tukutumiee.
Tunakutumiaje Sa!??? Wakati Technology Inakupita!?duh mimi mpaka leo ni mshamba wa huduma za money transfer, haiwezekani fedha yangu mwenyewe nikiuliza salio nakatwa service charge. acha tu niendelee kuzifukia kwa kutumia alama ya mawingu kama mfalme ****.
Hahahhaaa! Sunbae huu utani mwengine haufai. Teh te teh.
hahahahahaaaaaTunakutumiaje Sa!??? Wakati Technology Inakupita!?
Tutazipakia Kwenye Azam Boti Ama Fastjet!??hahahahahaaaaa
mutanitumia kwa njia ya posta pamoja na barua za mkono,
Hahahahaahhaaaaaa mkuu we agiza tu nakuja lipia
Hahaaa sasa hizo tu unaona nyingi aisee nikikutajia zangu ama Damushin na EMPTY wakutajie walizo zicheki si ndio utazimia kabisa.Asante sana! Ila umenisababishia kukesha maana huu mzigo bila nihgt bando hausogei hautoboi
Tupe namba za sanduku la posta.hahahahahaaaaa
mutanitumia kwa njia ya posta pamoja na barua za mkono,
au TigoPesa pia itapendeza.Tupe namba za sanduku la posta.
Ngoja kwanza iwe complete ndio nitaishusha niko busy na kitu inaitwa Emperor wang gunHWAYUGI
- nimeanza kunusa harufu ya upendo kati ya p.k na buja.
- nadhani pk ataachana na mawazo ya kutaka kumla sam jang kwa sababu endapo samjang atakufa basi na buja naye atakufa.
- Na endapo PK ataamua kumpotezea buja basi nafasi yake nitaichukia mimi, kiukweli nimempenda zombie.
- song oh gong, ma wang, PK, buja, Ma Wang secretary, Samjang - Assistant wanaifanya week end iwe ni raha.kuanzia sasa nitahamia rasmi televisheni ya TnV
Uko ep ya ngapi mkuu?Ngoja kwanza iwe complete ndio nitaishusha niko busy na kitu inaitwa Emperor wang gun
nilipokuwa nasoma andiko lako kuhusiana na admiral yi soon shin nilicheka sana, yaani unataka kurudia kiporo cha yi soon shin halafu muda huo huo unaendelea na emperor wang guhn, aigoooooooooo unatembea kwenye njia zangu.Ngoja kwanza iwe complete ndio nitaishusha niko busy na kitu inaitwa Emperor wang gun
Aigooooo we kunywa ata kreti zima maana umenikumbusha kiporo changu nilicho kipenda sana. Ndugu hizi drama za episodes nyingi alafu iwe historical ndio napenda haswa maana inakuwa inaelezeka vizur zaidi. Nikimaliza hizo nashusha Age of warriors.nilipokuwa nasoma andiko lako kuhusiana na admiral yi soon shin nilicheka sana, yaani unataka kurudia kiporo cha yi soon shin halafu muda huo huo unaendelea na emperor wang guhn, aigoooooooooo unatembea kwenye njia zangu.
unaonekana hizi drama zenye episode nyingi unazipenda sana basi ngoja ninywe chupa kumi za pombe ya mchele halafu nikuwekee list.
Mkuu ndio kwanza naianza bado niko episodes za mwanzo. Episode ya 7Uko ep ya ngapi mkuu?
Nami nitaka kuipakua lakini moyo unasita.Mkuu ndio kwanza naianza bado niko episodes za mwanzo. Episode ya 7
kwenye emperor wang guhn subtitle yake ni sahihiNami nitaka kuipakua lakini moyo unasita.
Hizi dramas za zamani subtitles zake huwa zinanipa shida 'sababu nahisi hazielezei kile kinachozungumzwa kwa ufasaha niutakao.