Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

boss wa korean drama company : hellow damushin, ombi lako la kuomba likizo bila ya malipo limekubaliwa hivyo basi kuanzia kesho likizo yako itaanza rasmi.
damushin: ahsante sana boss mkurugenzi kitambi meneja, vipi kuhusiana na wafanya kazi wengine nao nimesikia wameomba likizo?
boss: ni kweli waliomba likizo lakini mwisho wa siku walifuta maombi yao ya likizo hivyo basi wataendelea kufanya kazi kwa miaka 2 mfululizo na nitawaongezea mshahara.
damushin: ahsante sana bosi, nawatakia kazi njema wafanya kazi wote wa korean drama.
[HASHTAG]#anyeong[/HASHTAG]
Sunbae,
Kama hujaanza safari rasmi naomba nikuulize, umeionaje drama ya Mother?
 
Wapendwa napenda sana series za dictetive kama iris, sensory cop,, na usaliti katika mapenzi kama queen of ambition, tempetion of an angel,

Naomba mjina ya series sampuli izo wapendwa
Mkuu tuna taste sawa ktk Korea drama ,hata Mimi napenda sample ya series kma hizo sanaaaaa...
Detective nakushauri cheki the innocent defendant kma hujauowana ,au IRIS 2 ,Athena ,a man called god ,3 days ,
Na za love na usaliti cheki kitu kinaitwa when a man love hutajuta ,

......na Mimi pia nasubiria recommendations ya sample ya series kma hizo
 
Wapendwa napenda sana series za dictetive kama iris, sensory cop,, na usaliti katika mapenzi kama queen of ambition, tempetion of an angel,

Naomba mjina ya series sampuli izo wapendwa
Cruel city.
Ghost.
Tunnel.
 
Damushin Sunbae hawa wazee wako mi wananiacha hoi kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EMPTY umeona vituko vyao?
00e27b5d2aa70a37c1132bd797d69e91.jpg
e26d10fbe5b75f888f685045c691f460.jpg
d66f84077a6bc0a0567688465b5555e2.jpg
 
aigoooooo nimeanza kukuogopa kama ninavyomuogopa swahiba wako wa karibu mjr95 yaani mimi kuweza kuandika maelezo kama ya kwako wewe itanipasa nifikirie siku nzima.najihisi nina upungufu mkubwa sana wa maneno, kiukweli najiona kila siku maneno yangu hayabadiliki kuanzia kuzungumza kwangu hadi kuandika.
je inawezekana sababu ni mvivu wa kusoma?
Aigooooo!
Komawao Oppa
Labda Sababu Napita Mure Mure...
 
omo kkamjagg, kwa mujibu wa list yako kama ni idadi ya madeni basi nadaiwa 13.
Night Watch Man
Scholar who Walks The Night
Doctors
Healer
SCHOOL 2017
Cinderella & 4 Knights
It's OK,This is Love
My Sassy Girl
Entertainment
Reunited World
Cinderella & 4 Knights
Suspicious Partner
Remember


deni lako nivumilie nitakulipa siku atakayoondoka madarakani mzee wa chato.
Omo Omo...Miaka 7 Mbele Duuuuhh..
Na Apo Baada ya Kupata Familia Waweza Acha Izi Mambo
 
Drama ambazo nazikubali
1.Jumong
2.Goodbye Mr black
3.City hunter
4.Heartless city
5.Faith
6.Giant
7.scandal
8.Doctor strange
9.King of baking
10.Moorim school
 
Jinja? Ngoja niwe bundi leo niishushe. LOL!

Halafu chingu huu mtindo wa kusubiria subs nishaanza kuuchoka.
Nimejipangia hadi 2K18 imalize niweze hata kuomba maji kutumia Hangul.
Hahahah! Itabidi Nisubiri Ukishaweza Nami Nifate InshaAllah.
 
20180129000007_0.jpg

Master,Ukipenda Muite Hyuk Au Nyuki Pia Mzalisha Asali, Mwenye Akili Kushinda Alilyelipiza kisasi Kiusomi Zaidi Wala Ajatumia Nguvu Sana Ya Mwili Zaidi Alotumia Yeye Ni Akili Kulipiza Yale Maumivu Aloyapitia.

Halabeoji Licha Ya Kuwa Bingwa Kwa Aya Mambo Ila Apa Kachemka....Mtu Ambaye Anaujua Uchafu Wako wote Unategemea Kipi!

NB
Sishauri Kisasi Hila Kwa Njia Alotumia Uyu Master Itakuwa Nzuri Zaidi.
 
Back
Top Bottom