Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Ndio hivyo
Kweli!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli!???
Bora Now Nipo Safe..Hao wanamuziki wachukue tu mimi sinaga hata mzuka nyimbi zao nasikiliza za chibu tu
Huyu nae alicheat na nani?하하하 하아아 wakorea wanamaliziana mahakamani, kama kuchukua mke au mume wa mtu unamwagiwa tindi kali basi angemwagiwa lee byung hun baada ya kucheat japo kuwa alishinda kesi.
![]()
“Every relationship has problems but you don’t throw it away when it’s not working. You fix it, just like how everyone used to fix their telephones and television sets. These days, people just throw them away and buy new ones.”
maneno ya mwanadada lee min jung alipokuwa akihojiwa na vyombo vya habari miaka miwili iliopita
Sante Mkuu.Ndio hivyo
Sante Mkuu.
Ndo Nalala.Leo hulali?
aigooooooo chingu nipo likizo, yi soon shin nitaitafuta miezi miwili ijayo.Damushin Jamaa yako Yi Soon Shin amekamatwa kwa amri ya mfalme baada ya kukataa kuivamia kambi ya Pusan ambayo ndio kambi kuu ya waJapan katika vita vinavyo endelea. Hii ni mara ya pili anapinga amri ya mfalme katika kuvamia kambi hiyo.
aigooooooo chingu nipo likizo, yi soon shin nitaitafuta miezi miwili ijayo
tafadhali usije ukamuota park hyo shin kwenye ndoto yako ya leoNdo Nalala.
Labda kwa upande wa production ila story inaonekana itakuwa ni nzuri,kuna muda huwa nafikiriaga kuitazama.Ubaya Wake kwenye kona Gani!??
Production Ama Story!??
unatuaga au unatusalimia dongsaeng?
LOL! Nimerudi jamvini, sunbae.unatuaga au unatusalimia dongsaeng?