moses sam kolowa
Member
- Jul 19, 2018
- 68
- 58
Wadau mwenye kujua series Kali za action drama mpya naomba anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umebahatika kuangalia the miracle we met drama?Hivi Kwa Nini Umempenda Sana Huyo Mchumba Wako Mpya, Najua Ni Maamuzi Lakini Nauliza Tuuh Sababu!?
Hahahhahah! Wivu Lazima Siunajua, Hahahahhahah Dah!umebahatika kuangalia the miracle we met drama?
labda tuanzie hapo
ni mcheshi mnooooooo ndio maana amenivutia.
usiniambie umepatwa na ugonjwa wa wivu
natania tu.
kwa style hii ya kuomba msaada inakuwa ni vigumu kusaidiwa kwa sababu wakorea wana project nyingi mnoo hivyo basi inapendeza zaidi kama ungeliweka list ya drama ulizobahatika kuziangalia.Wadau mwenye kujua series Kali za action drama mpya naomba anisaidie
jaribu tovuti zifuatazoMamboz, jaman dramanice inasumbua naombeni link au njia nyingine ya kudownload. Natizama Mr. Sunshine na My mister kwa sasa
Naweza kuipataje?Apa Sijakuelewa Unataka Jina La Drama Gani?? Kama Ni Hiyo Uloniquote Inaitwa Mr.Sunshine Ambayo Ni Ongoing Drama Na Iko Episode 6, Inayoelezea Mzaliwa Wa Korea katika Familia Zile Za Chini Sana Kwa Jina Lengine Ni Slave Family, Ambayo Ataenda America Na Kurudi korea Kama Captain wa Jeshi La Marekani, Si ndo Iyo Ama?
Kupitia Hizi Site Wanazoonyesha Niwewe Tuuh Kuchagua.Naweza kuipataje?
Thanks a lot[emoji56]Kupitia Hizi Site Wanazoonyesha Niwewe Tuuh Kuchagua.
KissAssian.com
MyAsian.Se
Dramanice.com
Asante naona dramanice pia imefunguka vyema
Series za kikorea ni za wanawake na watoto... sasa kama we ni kidume kuanzia miaka 18+ na bado una angalia ayo mataka taka itabidi tukuchunguze
Mkuu Aina kama za queen dwager,slave hunter,jumong, general bae...inshort za kifamle za porini mpya naomba majina please30 But 17”
![]()
hii drama imeanza vizuri sana kwa ambaye hana going drama ya kuangalia.
- gong woo jin ni kijana mwenye umri wa miaka 30, alipokuwa na miaka 17 alipata tatizo la Trauma ambalo linapelekea kutokupenda kuwa na urafiki na mtu yeyote.pia alipokuwa na miaka 17 alianza kuvutiwa na msichana anayeitwa woo seo ri.
- woo seori naye alikuwa na miaka 17 wakati anapata ajali ya gari iliopelekea kupoteza fahamu kwa kipindi cha miaka 13 mfululizo (coma). alipoamka alijishangaa sana baada ya kujiona ana mabadiliko ya kimwili, yaani ametoka kuwa msichana mdogo hadi kuwa msichanamwenye miaka 30.
- gong woo jin anaamini ya kwamba aliyefariki kwenye ajali ya bus ni seori na amekuwa akijilaumu kuwa yeye ni chanzo cha kifo cha msichana seuri kwa sababu yeye ndiye aliyemshauri apande gari.kumbe aliyefariki ni shoga yake woo seori.
- balaa linamkumba mwanadada woo seuri baada ya kurudisha akili zake kwani anajikuta nyumba aliyokuwa akiishi miaka 13 iliopita imeshauzwa na hata mjomba na shangazi yake hajui wanapoishi na pia anaamini ya kwamba shoga yake yupo hai. anaamka akiwa na miaka 30 lakini uwezo wake wa kufikiri umebaki ule ule wa miaka 17. ina maana miaka 13 imeenda bure bule ya kuifanyia kazi. je atatimiza vipi ndoto yake ya utotoni ya kuwa violinist?
Thirty But Seventeen at Dramanice
ungeliweka list ya drama ulizoziangalia ndio ingelipendeza zaidi, halafu hizi historical drama husuan za three kingdom hakuna project mpya iliotengenezwa kwa miaka hii.Mkuu Aina kama za queen dwager,slave hunter,jumong, general bae...inshort za kifamle za porini mpya naomba majina please
Asante mkuu hata hapo nitazichangua ambazo ....sijaziona!!vp naweza pata site yenye mb nafuu ku download au kuchekii online?ungeliweka list ya drama ulizoziangalia ndio ingelipendeza zaidi, halafu hizi historical drama husuan za three kingdom hakuna project mpya iliotengenezwa kwa miaka hii.
![]()
Asante mkuu hata hapo nitazichangua ambazo ....sijaziona!!vp naweza pata site yenye mb nafuu ku download au kuchekii online?
Ubarikiweee
- Jumong at Dramanice
- The Kingdom of the Winds at Dramanice
- Emperor Of The Sea at Dramanice
- Emperor Wang Gun at Dramanice
- Ballad of Suh Dong at Dramanice
- Queen Seon Duk at Dramanice
- The Great King's Dream at Dramanice
- Age of Warriors at Dramanice
- Empress Chun Chu at Dramanice
- Empress Ki at Dramanice
- King Gwanggaeto the Great at Dramanice
- Sword and Flower at Dramanice
- Gye Baek at Dramanice
- Kings Daughter Su Baek Hyang at Dramanice
- Jeong Do Jeon at Dramanice
- Great King Sejong at Dramanice
- Yi San at Dramanice
- Six Flying Dragons at Dramanice
- Dong Yi at Dramanice
- Jang Yeong Sil at Dramanice
- Seoul 1945 at Dramanice
- Ruler: Master of the Mask at Dramanice
- Moon Lovers – Scarlet Heart: Ryeo at Dramanice
- Scholar Who Walks the Night at Dramanice
- Gu Family Book at Dramanice
- Tree With Deep Roots at Dramanice
- The Merchant: Gaekju 2015 at Dramanice
- Conspiracy In The Court at Dramanice
- Damo at Dramanice
- Eight Days at Dramanice
- Shine or Go Crazy at Dramanice
- Rebel: Thief Who Stole the People at Dramanice
👍
- kuomba radhi pale unapofanya kosa ndio super glue ya maisha, inaziba tatizo lolote lile lililotokezea.
- kuomba radhi pale unapoteleza ndio manukato yenye harufu nzuri zaidi duniani,yanaweza kubadilisha harufu ya tukio baya ulilolifanya na kuwa zawadi yenye kuthaminiwa.
- kufanya unachokitaka ndio uhuru na kufurahia unachokifanya ndio furaha.
- jambo pekee litkalokufanya uyafurahie maisha yako ni kufanya kile ambacho kinapendeza ndani ya nafsi yako.
- mpumbavu huifuata furaha iliombali ila mwerevu huiweka furaha chini ya nyayo zake.