Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kuna uwezekano season 2 ya waikiki drama ikawa mwaka 2019
nitafurahi sana kufungua mwaka na comedy ya ukweli
inshaallah
d597956f-ab4c-4249-b1b3-d220443f6ff0.jpg
Mi Uyo Aloweka Icho Kibanio Kichwani Tuuh.
 
mhhhhhhh niwe mkweli sijabahatika kuiangalia heartless city.
ila kama unahitaji drama zenye kuzungumzia ishu za criminal, action,thriller, investigation basi jaribu zifuatazo.
  1. life on mars
  2. voice season 1
  3. voice season 2
  4. black
  5. tunnel
  6. secret forest
  7. criminal mind
  8. signal
  9. partners for justice
  10. bad guys 1
  11. bad guys 2
  12. phantom
  13. duel
  14. incarnation of money
  15. pied piper
  16. sign
  17. mad dog
  18. innocent defendant
  19. Healer
  20. Come and Hug Me
Hiii Ya Mwisho Inabidi Niirudie Maana Nina Kiporo Chake Mpaka Kinaenda Kuchacha
 
Song Hye Kyo And Park Bo Gum’s New Drama Confirms Details Of 1st Script Reading
kwa mujibu wa taarifa kupitia vyanzo tofauti vya habari inasemekana kwa mara ya kwanza wawili hao watakutana siku ya leo kwa ajili ya script reading ila cha ajabu sehemu watakayokutana imebaki kuwa ni siri mpaka muda huu.
0347b3ec2edc4ebbaedc933ad97e7178.jpeg

STzIplQ.jpg

drama inaitwa boyfriend (namja chingu =남자 친구)
Zile Scene Za Kiss Umu Zimo?? Na Watakuwa Wanafanya Kweli?

Ndoa Za Mastaa Naonaga Zinazidi Ugumu!
 
niliwahi kuona habari moja kwenye soompi forum thread ya song hye kyo inadai ya kwamba park bo gum alimuomba ruhusa song joong ki ya kuigiza na mke wake.
sijui kuna ukweli wowote kwa sababu hawa wawili ni marafiki mnoo.
hakuna mahusiano bila ya kiss scene kwenye drama.
🙂🙂 au unaonaje kiupande wako?
ila naomba kwenye hii drama isiwemo scene moja matata sana kama ya kwenye IRIS drama na whats wrong with secretary kim drama
hivi unadhani baada ya hatua zifuatazo kipi kinafuata kwa wawili wapendanao bwana eugene na lady ae sin
  1. upendo
  2. kusalimiana na kutambulishana
  3. kukumbatiana
  4. kukaa muda mrefu bila ya kufanya chochote
  5. ......................................?
marks 10 ukijibu kwa ufasaha
 
Hahahhahaha Hiyo Namba Nne Mbona Kama Sijaielewa!

Kushikana Mkono Umesahauu!

Ilo Swali Jibu Lake Ni Kurudi Wote Marekani Japo Choi Kasema Aondoki Tena Joseon. Hili si Jibu!

Jibu Ni ( Wish EMPTY Angekuepo Angenisaidia Kujibu Hili Swali Maana Mi Linakuja Na Kutoka)

Jibu Ni Kuki..........
 
Mi Ningekuwa Ndo Mume Nisingekubali, Kazi Isiingiliee Kati ya Urafiki na Ndoa, We Rafiki Yangu Naona Kabisaa Mnafanya Hizo Mambo Za Nini Sijuhi Na Mwenza Naangalia Tuuh.
 
hahahahahaaaa umesahau kuna wakati eugene choi alimpa ukweli wa maisha yake lady ae sin wakiwa kwenye mto, ndipo bidada akachanganyikiwa baada ya kugundaua jamaa alikuwa ni mtumwa.
siku waliokutana tena kwenye njia ya reli walizungumza kama dakika 6 ndipo wakaamua wasikutane kwa muda na watumiane barua wanapohitaji kubadilishana taarifa.
kushikana mikono ndio namba mbili nimesahau.
jibu la tano sijui kutambulishana kwa wazee au ki................................mhhhhhhh wino umeganda
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
hata lee bo young alisema hawezi kuwa na mahusiano na muigizaji lakini mwisho wa siku alitongozwa mpaka akakubali na ji sung.
uvumilivu kwenye kazi lazima uwepo.
🙁🙁🙁
 
Anha Ha Ha Anha HaHa,

Kutambulishana Kwenyewe Wakati Alipeleka Msaada Wa Ulinzi Akatolewa Iyo Barua Ndo Na Panga Nyuma Litamfata

Iyo Ki Ni Nini Malizia Mwana!
 
Ah! Hmmm!
 
hahahahahaaaa ngoja nirudi safari yangu nitamalizia sentensi yangu.
 
Usisahau na pweza Kabisa!

Leo Nimemkumbuka Khantwe Sijuhi Yuko Wapi Huyu Mtu!

Huwaga Najiuliza Namimi Ntakuja Potea Jf Kiasi Hiki! Wakati Hata Siku Aitapita Mpka Nione Damushin Kapost Nini?

Lol!
nina wasiwasi khantwe amekumbana na tukio la ajabu la time travel
nathubutu kusema amerudi kwenye utawala wa joseon huko aliko.
mungu amjaalie asije akakutana na balaa la watembea na mapanga mchana kutwa.
 
Lee Jong Suk’s Agency Responds To Reports Of Plans For New Drama And Enlistment
kuna stori zinadai ya kwamba jamaa amepata offer ya kuigiza kwenye remake drama ya kimarekani inayojulikana kwa jina la YOUNGER na pia anategemewa kujiunga na jeshi mnamo mwezi february 2019.
lakini management yake wanaomsimamia wamesema ya kwamba bado haijajulikana ni lini atakwenda kutumika jeshi na pia wamedai ya kwamaba lee jong suk amepata offer nyengine ya kushiriki drama inayoitwa “Romance Supplement” lakini bado hajachagua offer nzuri ya kushiriki.
“Romance Supplement” ni drama itakayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wawili wenye wastani wa umri wa miaka 30.
404e3feb1170413e8f37f5f29cc74658.jpeg

tujiandae kisaikolojia kufuatilia drama bila ya lee jong suk kwa miaka 2.
nathubutu kusema huyu jamaaa ndiye king of romantic comedy drama au nakosea?
hivi kuna project yoyote aliyoichagua ikawa mbaya?
while you were sleeping drama
doctor stranger
w two world
pinoccio
i hear your voice

millitary services loading...........................
 
nina wasiwasi khantwe amekumbana na tukio la ajabu la time travel
nathubutu kusema amerudi kwenye utawala wa joseon huko aliko.
mungu amjaalie asije akakutana na balaa la watembea na mapanga mchana kutwa.
Anhaa Nahisi Uko Na Kaungana Na Wote Walopotea Umu
 
Back
Top Bottom