Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Mi Uyo Aloweka Icho Kibanio Kichwani Tuuh.kuna uwezekano season 2 ya waikiki drama ikawa mwaka 2019
nitafurahi sana kufungua mwaka na comedy ya ukweli
inshaallah
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Uyo Aloweka Icho Kibanio Kichwani Tuuh.kuna uwezekano season 2 ya waikiki drama ikawa mwaka 2019
nitafurahi sana kufungua mwaka na comedy ya ukweli
inshaallah
![]()
Hiii Ya Mwisho Inabidi Niirudie Maana Nina Kiporo Chake Mpaka Kinaenda Kuchachamhhhhhhh niwe mkweli sijabahatika kuiangalia heartless city.
ila kama unahitaji drama zenye kuzungumzia ishu za criminal, action,thriller, investigation basi jaribu zifuatazo.
- life on mars
- voice season 1
- voice season 2
- black
- tunnel
- secret forest
- criminal mind
- signal
- partners for justice
- bad guys 1
- bad guys 2
- phantom
- duel
- incarnation of money
- pied piper
- sign
- mad dog
- innocent defendant
- Healer
- Come and Hug Me
Zile Scene Za Kiss Umu Zimo?? Na Watakuwa Wanafanya Kweli?Song Hye Kyo And Park Bo Gum’s New Drama Confirms Details Of 1st Script Reading
kwa mujibu wa taarifa kupitia vyanzo tofauti vya habari inasemekana kwa mara ya kwanza wawili hao watakutana siku ya leo kwa ajili ya script reading ila cha ajabu sehemu watakayokutana imebaki kuwa ni siri mpaka muda huu.
![]()
![]()
drama inaitwa boyfriend (namja chingu =남자 친구)
niliwahi kuona habari moja kwenye soompi forum thread ya song hye kyo inadai ya kwamba park bo gum alimuomba ruhusa song joong ki ya kuigiza na mke wake.Zile Scene Za Kiss Umu Zimo?? Na Watakuwa Wanafanya Kweli?
Ndoa Za Mastaa Naonaga Zinazidi Ugumu!
upo sahihi.Uyu Eugene Amecheza Sana Movie Kuliko Drama?
Hahahhahaha Hiyo Namba Nne Mbona Kama Sijaielewa!niliwahi kuona habari moja kwenye soompi forum thread ya song hye kyo inadai ya kwamba park bo gum alimuomba ruhusa song joong ki ya kuigiza na mke wake.
sijui kuna ukweli wowote kwa sababu hawa wawili ni marafiki mnoo.
hakuna mahusiano bila ya kiss scene kwenye drama.
🙂🙂 au unaonaje kiupande wako?
ila naomba kwenye hii drama isiwemo scene moja matata sana kama ya kwenye IRIS drama na whats wrong with secretary kim drama
hivi unadhani baada ya hatua zifuatazo kipi kinafuata kwa wawili wapendanao bwana eugene na lady ae sin
marks 10 ukijibu kwa ufasaha
- upendo
- kusalimiana na kutambulishana
- kukumbatiana
- kukaa muda mrefu bila ya kufanya chochote
- ......................................?
Biriani Umekula Mwenyewe Na Ngamia Lake! Lol! Hata Karibu..Mi Ningepata Hata Mguu Wake Tuuh! Nibadirishe Radhanado nae sarang
나도 내 사랑
na mimi pia mpendwa
He is Guud ACTOR.upo sahihi.
Mi Ningekuwa Ndo Mume Nisingekubali, Kazi Isiingiliee Kati ya Urafiki na Ndoa, We Rafiki Yangu Naona Kabisaa Mnafanya Hizo Mambo Za Nini Sijuhi Na Mwenza Naangalia Tuuh.niliwahi kuona habari moja kwenye soompi forum thread ya song hye kyo inadai ya kwamba park bo gum alimuomba ruhusa song joong ki ya kuigiza na mke wake.
sijui kuna ukweli wowote kwa sababu hawa wawili ni marafiki mnoo.
hakuna mahusiano bila ya kiss scene kwenye drama.
🙂🙂 au unaonaje kiupande wako?
ila naomba kwenye hii drama isiwemo scene moja matata sana kama ya kwenye IRIS drama na whats wrong with secretary kim drama
hivi unadhani baada ya hatua zifuatazo kipi kinafuata kwa wawili wapendanao bwana eugene na lady ae sin
marks 10 ukijibu kwa ufasaha
- upendo
- kusalimiana na kutambulishana
- kukumbatiana
- kukaa muda mrefu bila ya kufanya chochote
- ......................................?
hahahahahaaaa umesahau kuna wakati eugene choi alimpa ukweli wa maisha yake lady ae sin wakiwa kwenye mto, ndipo bidada akachanganyikiwa baada ya kugundaua jamaa alikuwa ni mtumwa.Hahahhahaha Hiyo Namba Nne Mbona Kama Sijaielewa!
Kushikana Mkono Umesahauu!
Ilo Swali Jibu Lake Ni Kurudi Wote Marekani Japo Choi Kasema Aondoki Tena Joseon. Hili si Jibu!
Jibu Ni ( Wish EMPTY Angekuepo Angenisaidia Kujibu Hili Swali Maana Mi Linakuja Na Kutoka)
Jibu Ni Kuki..........
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguMi Ningekuwa Ndo Mume Nisingekubali, Kazi Isiingiliee Kati ya Urafiki na Ndoa, We Rafiki Yangu Naona Kabisaa Mnafanya Hizo Mambo Za Nini Sijuhi Na Mwenza Naangalia Tuuh.
Anha Ha Ha Anha HaHa,hahahahahaaaa umesahau kuna wakati eugene choi alimpa ukweli wa maisha yake lady ae sin wakiwa kwenye mto, ndipo bidada akachanganyikiwa baada ya kugundaua jamaa alikuwa ni mtumwa.
siku waliokutana tena kwenye njia ya reli walizungumza kama dakika 6 ndipo wakaamua wasikutane kwa muda na watumiane barua wanapohitaji kubadilishana taarifa.
kushikana mikono ndio namba mbili nimesahau.
jibu la tano sijui kutambulishana kwa wazee au ki................................mhhhhhhh wino umeganda
Ah! Hmmm!mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
hata lee bo young alisema hawezi kuwa na mahusiano na muigizaji lakini mwisho wa siku alitongozwa mpaka akakubali na ji sung.
uvumilivu kwenye kazi lazima uwepo.
🙁🙁🙁
hahahahahaaaa ngoja nirudi safari yangu nitamalizia sentensi yangu.Anha Ha Ha Anha HaHa,
Kutambulishana Kwenyewe Wakati Alipeleka Msaada Wa Ulinzi Akatolewa Iyo Barua Ndo Na Panga Nyuma Litamfata
Iyo Ki Ni Nini Malizia Mwana!
Uko Kwa Botiii nini??hahahahahaaaa ngoja nirudi safari yangu nitamalizia sentensi yangu.
nina wasiwasi khantwe amekumbana na tukio la ajabu la time travel
Anhaa Nahisi Uko Na Kaungana Na Wote Walopotea Umunina wasiwasi khantwe amekumbana na tukio la ajabu la time travel
nathubutu kusema amerudi kwenye utawala wa joseon huko aliko.
mungu amjaalie asije akakutana na balaa la watembea na mapanga mchana kutwa.