Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

binafsi niliishia episode ya 2.
inaonekana time travel ndio zinakuzingua unapoiangalia au stori yake hujaipenda?
voice season 2 ipo vizuri kama ni mpenzi wa criminal drama na wiki hii inaendelea episode ya 5, 6.
hivi huku kwetu tuna shirika linalofanya uchunguzi wa matukio ya kihalifu kisayansi?
hivi huku kwetu idara yetu ya ulinzi inaweza kutatua matatizo ya kihalifu kwa kutumia special customer service za njia ya mawasiliano?
nakusudia kusema ya kwamba nchi yetu tuna uwezo wa kumtrack muhalifu taarifa zake zote zinazomuhusu, kwa mfano kufahamu DNA za muhalifu, kufahamu taarifa za kifedha za muhalifu na kuweza kuzizuia, kufahamu taarifa za usafiri za muhalifu, anapoishi n.k

pia jaribu kuiangalia drama inayoitwa life on mars.
nayo pia inahusu masuala ya utatuaji wa matatizo ya kihalifu, ni remake ya program ya kituo cha BBC.
  • jamaa anajikuta anarudi nyuma mwaka 1988 ambapo ni sawa na miaka 30 iliopita baada ya kupigwa risasi
  • jinsi hiki kikundi cha polisi wanavyotatua matatizo wewe muangaliaji wa hii drama utapenda ukitaka usitake, hamuna cctv camera, hamuna computer, hamuna database kwa ajili ya kuhifadhi taarifa za watu mbali mbali,hamuna shirika lolote linalihusiana na kufanya chunguzi za kisayansi, ni mwendo wa kutumia akili mwanzo mwisho.
  • location, music, uvaaji wao,usafiri wao na vyenginevyo vinakushajihisha uamini ya kwamba hii drama matukio yake ni ya miaka 30 iliopita.
  • wakati huku kwetu unaangalia filamu yenye kuzungumzia matukio ya kizamani yaliotokea kipindi cha utawala wa machifu wakuu cha ajabu pembeni yake unakuta nyumba imejengwa kwa matofali na wanatumia vyombo vya plastic. Tuna safari ndefu sana.
Life_on_Mars-p01.jpg

ahsante sana mkuu ,nitaanza kuzicheki zote mbili voice 2 pamoja na hio life on mars ,lkn voice 1 cjaucheki vipi hautegemeani ??
kweli mkuu mimi series za time travel nahc zinanipa shida kuzielewa vzr lkn nitatulia niuangalie tna huo the wife that I know coz uyo mshkaj ji sung hajawahi kuniangusha ktk movie zake zote nilocheki kuanzia All in,healer ,secret love na I project ya mwaka jna matata the innocent defendant.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona zote ila sijawahi kufikiria kwamba moja ni mwendelezo wa nyingine. Wakorea mara nyingi wanatoaga s01 basi, ilijimae, Iris ndio niliona wametoa s02

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Kwa Hii Moon Lovers Scarlet Inazungumzia Familia Ya Uzao Mwingi Wa Maprice Kwa Ma mama Tofauti Na Ile Kunakuwa Na Kugombania Kwa Kukaa Pale Kwenye Kiti Cha Uongozi.

Hii Naona Ni Sawa Kwenye Hii Shine Or Go Crazy Naona Ni Stori Ile Ile. Ndo Nasema Ina Muendelezo
 
Yaani Kwa Hii Moon Lovers Scarlet Inazungumzia Familia Ya Uzao Mwingi Wa Maprice Kwa Ma mama Tofauti Na Ile Kunakuwa Na Kugombania Kwa Kukaa Pale Kwenye Kiti Cha Uongozi.

Hii Naona Ni Sawa Kwenye Hii Shine Or Go Crazy Naona Ni Stori Ile Ile. Ndo Nasema Ina Muendelezo
Okey. Series nyingi za kikorea story zinapishana kidogo tu (rebel vs illijimae), location mara nyingi ni zile zile hasa kwa zile za kihistoria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mimi naona aibu tu kuchangia SAA nyingine naandika alafu nafuta yani naanza kuwaza nikiandika watu watachukulia vipi lakin napenda ningepewa kipawa hata robo ya chako cha kuandika kwa ujasiri, hizo aibu zimenifelisha mambo mengi lakin nishakosa njia ya kutatua. Mbali na hilo napenda kusoma maandishi ya watu makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mimi naomba msaada hasa nikipewa torrents link ya kuweza ku-download korean drama kama utakua nayo ntashukuru sana maana napata taabu sana kuangalia online tena youtube..niliwahi kupewa link ila ikawa ni ya kuangalia tu na siyo kupakua ...msada mkuu
 
mkuu mimi naomba msaada hasa nikipewa torrents link ya kuweza ku-download korean drama kama utakua nayo ntashukuru sana maana napata taabu sana kuangalia online tena youtube..niliwahi kupewa link ila ikawa ni ya kuangalia tu na siyo kupakua ...msada mkuu
Tumia drama cool, drama fire ukiwa na IDM ni rahisi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo Kwa Kufanana Stori Ndio Nilikuwa Najiuliza!

Yah! Zimefanana. Ahsante Na Pole.
pole kwa sababu gani?
  1. kufungwa man utd
  2. kukataliwa na harabuji (mr sunshine)
  3. kutokupewa jibu na nimpendae labda kwa kasoro niliokuwa nayo (life)
 
ahsante sana mkuu ,nitaanza kuzicheki zote mbili voice 2 pamoja na hio life on mars ,lkn voice 1 cjaucheki vipi hautegemeani ??
kweli mkuu mimi series za time travel nahc zinanipa shida kuzielewa vzr lkn nitatulia niuangalie tna huo the wife that I know coz uyo mshkaj ji sung hajawahi kuniangusha ktk movie zake zote nilocheki kuanzia All in,healer ,secret love na I project ya mwaka jna matata the innocent defendant.

Sent using Jamii Forums mobile app
voice season 1 na season 2 hazitegemeani kwa sababu ni drama zinazo dili zaidi na matukio yanayoendelea kutokezea kila siku.
kwa mfano season 1 muhalifu mkuu alipatikana na kuuliwa lakini kufa kwake siyo mwisho wa kufanyika vitendo viovu kwenye jamii.
 
Yaani Kwa Hii Moon Lovers Scarlet Inazungumzia Familia Ya Uzao Mwingi Wa Maprice Kwa Ma mama Tofauti Na Ile Kunakuwa Na Kugombania Kwa Kukaa Pale Kwenye Kiti Cha Uongozi.

Hii Naona Ni Sawa Kwenye Hii Shine Or Go Crazy Naona Ni Stori Ile Ile. Ndo Nasema Ina Muendelezo
WANG GEON
7c1vBaAa7ZRuhHTfAWPdpoPfjxr.jpg

  1. ndiye muanzilishi wa taifa la goryeo mnamo mwaka 918 hadi 943 alipofariki na alipewa heshima ya Taejo.
  2. aliingia madarakani baada ya kumpindua mfalme Gung ye wa taifa la Taebong ndipo akalibadilisha jina taifa hilo na kuliita Goryeo wakati huo alikuwa ni general.
  3. chimbuko la ukoo wao ni wakimbizi kutoka Goguryeo ambao walikimbilia nchi ya Shilla na ndipo wakaanza kujishughulisha na biashara za baharini zilizowapa utajiri mkubwa sana wa mali.
  4. kabla ya kuwa mfalme na hata alipokuwa mfalme alifunga ndoa nyingi sana za kisiasa, koo nyingi sana ziliamua kuanzisha mahusiano na ukoo wa WANG kwa dhumuni la kuanzisha umoja na mshikamano na waliamini njia pekee ya kutimiza ahadi walizokubaliana kati ya pande mbili hizo ni kuanzisha undugu wa damu kwa kufunga ndoa.Inakadiriwa Wang guhn alioa wanawake 30 kutoka makabila tofauti ndio maana alikuwa na watoto wengi.Ukiangalia drama ya scarlet heart ryeo ndio utapata kugundua baadhi ya watoto aliokuwa nao.
  5. Wang gun ndiye aliyeziunganisha tawala tatu za baadae za korea (later goguryeo, later baekje na shilla)
  6. pia baada ya utawala wa Balhae kuwa legelege baada ya kushindwa na Khitan wang guhn aliamua kuwapokea wabalhae wote kwenye utawala wake wakiongozwa na crown prince na kuwapa ardhi na maeneo ya kuishi nchini goryeo.Ukiangalia drama ya shine or go crazy utagundua ya kwamba Shin Yool (oh yeon soo) alikuwa ni last princess wa balhae apmoja na kaka yake ambaye alikuwa ni mlinzi wa yuhwa ambaye ni mke wa wang soo, pia shin yool alijikuta akiwa kwenye mahusiano na wang soo ambaye ni mtoto wa nne wa mfalme wang guhn.
ukiziangalia drama zote mbili utakutana na wahusika wakuu
wang guhn = muanzilishi wa goryeo
wang moo = alikuwa mtoto wake wa kwanza na ndiye mfalme wa pili wa goryeo, hapa ndipo zilianza power struggle kati ya watoto zikiongozwa na wang soo na jeong jong.Wang moo alikaa madarakani kwa miaka miwili akafariki.
jeong jong : kwenye shine or go crazy uhusika wake ulioonyeshwa kama mfalme dhaifu ila kwenye scarlet heart ryeo alikuwa ndiye mfalme mkorofi, pia alikuwa mtoto wa tatu wa Taejo .
wang soo :mfalme wa nne wa goyeo, alikuwa na kaka watatu, ndugu wa kiume 12 na dada 7 kupitia mama tofauti. Ili kuepusha kuongezeka kwa nguvu kwa baadhi ya makabila aliamua kuwa tofauti na baba yake ambaye alioa wanawake wa makabila tofauti.Wang soo aliamua kufunga ndoa na mdogo wake pamoja na mtoto wa kaka yake.Ukiangalia drama zote mbili utakutana na haya matukio.
hwang bo yeo won : alikuwa ni mke wake wa kwanza prince wang soo kutoka uzao wa malikia kutoka ukoo wa hwang bo.
Choi Ji-Mong : alikuwa ni mtaalamu sana wa masuala ya nyota na utabiri, ukiangalia drama ya emperor wang gun utaona jinsi gani alivyokutana na wang gun na kupewa nafasi ya kufanya kazi ikulu.
CvrCEH8XEAAnT_b.jpg

Shine_or_Go_Crazy-003.jpg


hivi sheria za hizi dini pendwa zinaruhusu ndugu walioungana kwa damu ya mzee mmoja kufunga ndoa?
 
Ayo Mawili Ya Juu Pole.

Ilo La 3 Hapana Silielewi
bado najiuliza kwa nini yule binti no eul ameshindwa kumpa jibu Ye Sun-Woo labda ni kwa sababu ni mlemavu au ni kwa sababu hakutarajia ye sun woo ambaye alimchukulia ni kama ndugu wa doctor jin woo kumpenda?
sijui hizi episode za wiki hii atampa majibu yake?
sijui
Won_Jin-A-p1.jpg
 
Back
Top Bottom