DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
basi acha niendelee kuamini hivyo.Hahaa hapana sunbae upo live na maisha kabisa
natumai ni mzima wa afya wana chit chat wenzako wanakusubiri uwajibu maswali ya kuwapotea naamini umeanzishiwa thread zaidi ya 100.
😛😛😛😛😛😛
huku kwetu moon chae won anarudi tena na time travel drama kuanzia kesho.
au wewe ndiye moon chae won mwenyewe?