Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ntashusha episode 5 kwnza, hizi ndio hua napata muelekeo kama niendele kuiangalia ama la.
Sasa kwa hii nakuambia ongeza na ya 6,usipoendelea kuangalia nitakuvulia kofia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntashusha episode 5 kwnza, hizi ndio hua napata muelekeo kama niendele kuiangalia ama la.
Haha sasa hapo tusijeanza kuchukiana mtu na dada yake watu wote mle hujawaona ila shemeji yako? Mimi nilipenda kwa kweli labda kwa kuwa sikuwa nimewahi kumuona Hye Kyo before kwa hiyo akanivutia kweli.Ni mimi mpenzi...
Miss you more Unnie darling
Jamani Unniiiiiii, Jin Goo mbona ni wangu sasa? Lol
Ni nzuri sikatai ila sio sana bwana,bora hata road number 1.
Nadhani waigizaji walikuwa vizuri kuliko story yenyewe.
Sasa Unniiiiii angalia Dong Yi bwanaaa,ila sasa ukiangalia kule utoke na Chun Soo,mimi nimeshamuwahi Ji Jin Hee (King) [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nzuriiiii,ila nakushauri kama uko busy usiiguse.
daebak kwangu mimi ukiondoa MR SUNSHINE drama kwa mwaka huu drama yangu ya pili kwa ubora ni MY MISTER (my ahjussi).Naisubili Hii.
Now Nimeianza My Mister Baada Ya My Prince Kuisha.
I see TvN hawajawahi niangushahivi huko kwenu fairy wanapatikana?
kama wapo namuhitaji lakini awe mrembo kama Moon Chae Won
kwa hali hii ninayokwenda nayo sijui kama nitaweza kuachana na huu ulimwengu wa korean drama.
takribani wiki mbili zilizopita nilitest mitambo ya kuacha kuangalia korean drama lakini cha ajabu mitambo ilikuwa ya kichina.
kwa wale wapenzi wa going on drama ingizo jipya la wiki hii.
Mama Fairy and the Woodcutter at Dramanice
View attachment 926492
public broadcasting kama KBS, SBS na MBC wanapata tabu sana miaka hii.I see TvN hawajawahi niangusha
bogoshipdaYoubseyo [emoji1498]♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.
Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.
Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!
Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Ila KBS walisumbua hadi 2015 hvpublic broadcasting kama KBS, SBS na MBC wanapata tabu sana miaka hii.
mwaka huu nusu na robo ya waigizaji maarufu wamefanya kazi na kituo cha TvN au Jtbc.
cable tv zimejipanga sana.
Ilikuwa ajali?,duu mi mpaka Leo ndio series ambayo nmeshindwa kiofuta kwenye storage Yangu,mingu pumzisheGu Am Heo Joon dramalaiti kama wanadamu tungelikuwa na utamaduni wa kupenda kusaidiana tungelikuwa tunaishi kwenye ulimwengu wenye furaha na amani kwa kila mwananchi.
View attachment 926577
nimebaki najiuliza kwenye huu uliwengu tunaoishi wanafika angalau madaktari 10000 wenye tabia kama alizokuwa nazo dokta heo jun?
naamini jamaa aliletwa duniani kwa ajili ya kuwasaidia wale wenzangu na mimi tusiojiweza kwenye huduma za afya.
aigooo hii drama imevunja rekodi ya kunitoa machozi ovyo, naamini kama ningelikaa na ndoo ya maji basi ningeliijaza machozi yangu.
- ni daktari ambaye aliwachukulia wagonjwa wote kama familia yake
- ni daktaria ambaye hakuthubutu kuangalia heshima ya mgonjwa kwenye jamii, awe tajiri, masikini au fukara kwake yeye wote walikuwa ni sawa.
kilichoniumiza zaidi ni kwamba hii ni mara ya pili ukiachana na god of war drama umeigiza unafariki.
kwa nini ahjussi ulikuwa unajitabiria kifo bila ya kujijua?
hatimae umeondoka kweli kwenye ulimwengu huu bila ya kumuaga hata mchumba wako ambaye ulikuwa tayari una mipango naye ya kufunga ndoa.
Profile
endelea kupumzika kwa amani huko uliko gu tae hyungnim
- Name: Kim Ju-Hyeok
- Hangul: 김주혁
- Birthdate: October 3, 1972
- Date of Death: October 30, 2017
View attachment 926586
AUDIO | Nash MC Ft. Grace Matata - SAUTI | Download Mp3Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
AUDIO | Nash MC Ft. Grace Matata - SAUTI | Download Mp3 - KideBwayMnyamaTzAUDIO | Nash MC Ft. Grace Matata - SAUTI | Download Mp3
Nimeimaliza Jana Hii Drama Yaani!!daebak kwangu mimi ukiondoa MR SUNSHINE drama kwa mwaka huu drama yangu ya pili kwa ubora ni MY MISTER (my ahjussi).
ila sijui kama na mimi nitakuja kuwa na moyo wa kusamehe kama alivyofanya ahjussi wetu mule ndani baada ya kugundua mke wake anatembea na bosi wake ambaye pia ni rafiki wa karibu.
ni maamuzi ya kishujaa aliyoyachukua ahjussi park dong
unamuonaje mwanadada IU?
View attachment 926346
Sasa Huyu Si ndo Nitkuwa Hospital Kila Nikiangalia Maana Mbavu Zitabidi Zirudishwe Kila Episode Moja Ikiisha..aminas muda wa kuanza kufanya maandalizi ya kuweka mbavu na kinywa sawa kwa ajili ya kucheka umewadia.
Kim Seon Ho In Talks To Play Leading Role In 2nd Season Of “Waikiki”
View attachment 926643
Daebak daebak kalamu yangu imeishiwa wino na fedha ya kununulia mpya imekuwa ni ngumu kuipata kama maisha ya IU hivyo basi sina cha kuongeza.Nimeimaliza Jana Hii Drama Yaani!!
Nilitaka Nije Andika Malalamiko Umu Kwa Kuchelewa Kunipa Hii Almasi, Ila Nikasema Ngoja Niimalize Hili Nikamlaumu Vizuri.
Nilikuwa Nalia Pamoja Na IU Nilikuwa Nalia Pamoja Na Doong Hoon! Kila Scene Ambayo IU Alikuwa Analia Nami Nimelia Kila Scene Doong Hoon Alotoa Chozi Nami Nimetoa Chozi (Huu Ni Uchizi Najua, Ila Kama Uelewi Hisia Za Mtu Hata Kimaigizo Bado Ujapitia Hayo Maisha Ukaelewa Mtu Anamaanisha Nini Kwenye Hayo Maigizo)
Kuna Watu Wanapitia Haya Yaloigizwa Umu Ndani Kuna Watu Wanaishi Hivyi Ndani Ya Nyumba Zao, Kuna Wanaume Kama Dong Hoon Ndani Ya Nyumba Zetuu! Wanalia Ndani, Bila Kuyatoa Machozi Nje....Na Hawana Wakuwaambia Sababu Ni Aibu! Aibu Ilo Na Maumivu Makali Sana Daah!!
Malezi Alopitia IU Kuna Watu Sasa Ivi Wanapitia Malezi Haya, Kujutia Kuwa Duniani Kuomba Kuondoka Duniani Haraka Hili Kosa Kubwa Ulilowahi Lifanya Lisijulikane na Watu Wengi Zadi,Kuona Ulimwengu na Watu Wake Kama Wamekutenga Auko Kama Wao! Haya Maisha Yanaumiza Sana Sana..
Hii Drama Imenigusa,Imenigusaa!
Kudo Kwa IU Umu Ndani Kakua Sana, Kudo Kwa Doong Hoon Ahjussi Nilotamani Damushin Awe Hivi Na Subira Ile InshaAllah Mola Ataizidisha.
Lawama Zako Zinakuja.
ndio nishaanza mazoezi ya kuweka mbavu zangu sawa naona mwaka mpya utaanza tena na balaa.Sasa Huyu Si ndo Nitkuwa Hospital Kila Nikiangalia Maana Mbavu Zitabidi Zirudishwe Kila Episode Moja Ikiisha..
Wameamua Kutoongezea Chizi Mwengine Dooh! Apa Nijiandae Hasa.
Aigoooo Ubishi Nao Uko kwa Damuu.! Ila Hii Ukuniambia Chinguya Kweli Tena...Daebak daebak kalamu yangu imeishiwa wino na fedha ya kununulia mpya imekuwa ni ngumu kuipata kama maisha ya IU hivyo basi sina cha kuongeza.
Lakini na wewe baadhi ya nyakati unakuwa mbishi kama mkuu wa mkoa wa konki konki konki.
unaikumbuka because this is my first life drama ilivyokuwa tunaisifia pamoja na EMPTY dongsaeng cha ajabu mwenzetu ukatia pamba masikioni na kuamua kuipotezea.
siku uliamua kuotafuta kwa jinsi ilivyokuwa nzuri ukaiangalia kwa siku mbili.
kwi kwi kwi kwi.
View attachment 927417
Huyu Atakuepo Tuu! Ndomna Wanamueka Chizi Yule,Mi Napenda Sauti Yake, (100 Days My Prince)ndio nishaanza mazoezi ya kuweka mbavu zangu sawa naona mwaka mpya utaanza tena na balaa.
ningependa chawbacca arudishwe tena kwenye season 2 ili akutane na jamaa yake wa kwenye strongest deliveryman.
muharmusi style
lets gooooooo
View attachment 927426
Aigoooo Ubishi Nao Uko kwa Damuu.! Ila Hii Ukuniambia Chinguya Kweli Tena...
Hii Ilikuwa Siku Mbili,My Ahjussi Nimeangalia Siku Nne Imeeisha..Omo Omo Omo Umenikumbusha Mbali Sana Hii Drama