talnam castle, popote ulipo nunua unachohitaji halafu
woo joo atakuja kulipa, watapata tabu sana wapinzani wetu (makjang drama) na kipigo chao ni kizito muda huu kuliko cha mwizi aliyeiba soko la butcher.
wakorea siku ya jana wamejua kunifurahisha yaani nilikuwa naombea rate iongezeke kwa 0.7% lakini cha ajabu imezidi zaidi ya hapo.
siku yangu ya kwanza kuiangalia hii drama kama kawaida yangu nilikuja kuisifia humu ndani lakini watu kimyaaa wanahangaika na makjang plot, PD nim pleaaaaseeeee ongeza episode zifikie angalau 50 ili watu wahame mtaa wakajifiche kwenye ngome zetu.
“SKY Castle” Overtakes “Goblin” To Set Highest Viewership Ratings In Cable Network History
kwa mujibu wa taasisi ya Nielsen Korea episode ya 18 ya drama hiyo imeangaliwa nchi nzima kwa 22.3 %, ikiwa ni ongezeko la 2.4% ukilinganisha na episode ya 17. Goblin ndio drama iliyokuwa ikishikilia rekodi ya kuangaliwa zaidi nchini korea kupitia cable network.
zikiwa zimebakia episode mbili wadau mbali mbali nchini korea wamebaki na swali moja kubwa sana kwenye bongo zao
Je ni rekodi ipi itakayowekwa tena na sky castle?
je itavuka 25%?
- sky castle = 22.3%
- goblin = 20.5%
- Reply 1988 = 18.8%
yule mwanadamu aliyesema dawa ya moto ni moto kama bado yupo naombe nikutanishwe naye kwa ajili ya mazungumzo machache.
View attachment 1000019
Cha Min-Hyuk : munaionaje pyramid mpya niliowaletea, vipi ni nzuri? kuanzia sasa nataka muiangalie hii pyramid kileleni popote pale munapotembea.
nimefurahi sana mulipoivunja pyramid ndogo, nimedhibiti hasira zangu na nikaamua kuileta pyramid kubwa ambayo hamutathubutu kuivunja.
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa baba kama huyu dawa yake ni kumlaza nje kila siku.