Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika historia yote ya Korea huyo ndo mtu ambaye alikuwa anatisha, ni mfalme aliyeogopeka sanaMkuu kwa sie wananchi wazalendo wa taifa la GOGURYEO kutomuweka THE GREAT KING GWANGAETO umetufanyia uhaini mkubwa sana kiukweli.
Chonde Chonde bwana.
Ni wafalme wawili tu katika historia ya Korea waliopewa Posthumous tiltle ya Great King,
1. The Great King Gwangaeto.
2. The Great King Sejong.
"Today, King Gwanggaeto the Great is one of two rulers of Korea who were given the title 'Great' after their name (the other one being King Sejong the Great of Joseon, who created the Hangul)."
Usifanye hivyo mkuu bwana, mtu alipiga Mongolia,Japan, China,hadi Urusi alifika na akaiweka chini yake bwana huyu ni great, Tang na Silla kuungana kumpiga kwasababu mmoja mmoja hamna aliyeweza.
Shikamoo Gwangaeto!
Asante kwa kutu alertanother movie mbaya. coffee,do me a favour
Kama unataka kuharibu mb zako ivute hii khaa inaboa
Nzuri kweli hii nilikua kila nikianza inaniboa natafuta nyingine siku nilokosa drama, nikaianza kufika ep ya ngapi Yani hata kula Nala na pc lolView attachment 1005329nani anakumbuka huu moto? Hii ni moja ya tamthilia niliyoitazama mara nyingi inaitwa Bridal Mask ila sijui kama ilikuwa true story ama vipi. Ila humo ndani kuna balaa asikwambie mtu. Ina episode 28 tu.
Acheche
Huyo Kaka yake Lee Kanto alikuwa balaa kuliko hata Lee KantoNzuri kweli hii nilikua kila nikianza inaniboa natafuta nyingine siku nilokosa drama, nikaianza kufika ep ya ngapi Yani hata kula Nala na pc lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu sijaitazama. Ngoja nije niiyagute DramacoolView attachment 1005329nani anakumbuka huu moto? Hii ni moja ya tamthilia niliyoitazama mara nyingi inaitwa Bridal Mask ila sijui kama ilikuwa true story ama vipi. Ila humo ndani kuna balaa asikwambie mtu. Ina episode 28 tu.
Acheche
Yule king anaboa sana. Vey weak. Ukitazama Ja Myung Go (ambayo inaelezea story ya Prince Hodong wa Goguryeo ambaye kwenye Land/Kingdom of the Wind inaisha akiwa bado mdogo) utamuona King Deamushin (Muhyul) alivyo mbabe.Imagine unaifuatilia Empress Ki at the same time unaifuatilia King Gwanggaetto the Great.nilikuwa nakerwa na yule mfalme bwege alikuwa anaendeshwa kibwege anajiliza hovyo hii tabia yake ilifanya nikajikumbushie King Gwanggaetto jinsi mfalme Dam doek(Gwanggaetto) alikuwa anaongoza kibabe.
Hiyo ndo Gunganae auKwangu miye Lee san(Jeong Jo) ndiye mfalme wangu bora wa Joseon 2 anashika Sejong the Great 3 Yoeng Jo 4 SukJong 5TAE JO. INGAWA MIYE KWETU NI GUGNANGSOENG(GOGRYEO)
Haswa hyo Emperor of the sea wameboa kinyama jinsi walivyo imalizaHizi historical dramas zinaniboa zinavyoisha. Heroes die.
Emperor of the Sea
Gye Baek
Hong Gil Dong
Empress Ki etc
Sent using Jamii Forums mobile app
But ukisoma synopsis yake kule Dramacool, wanakuambia ni 50 episode drama. Ila wameweka 51 na hiyo ya 51 ndo inaudhi sana. Ukikomea ya 50, mambo shwari.Haswa hyo Emperor of the sea wameboa kinyama jinsi walivyo imaliza