FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Kifo cha Ha muji kwangu ilikuwa pigo mno baada ya kumpoteza Sagalhyeon,na Yeol salta.
Wewe ulivyotazama kifo cha nani kiliugusa kwa undani zaidi moyo wa mfalme?!
Hay ndiyo maono yangu walipokufa mfalme aliumia sana.
1. Princess[ Dam Ju]
2. Damang [ Prince )
3. Queen( mama yake)
4. Ha muji[ Military Advisor ]
5. Sagal hyeon[ Emperor's Bodyguard ]
6. Yeon salta( General )
Hakuumia sana mfalme alipokufa
Hii Drama Niliicheki Kitambo Kidogo Ila Bado Naikumbuka Vyema. Kuna Vifo Vingi Ambavyo Viligusa Mioyo. Kuna Kifo Kimoja Hapo Kimesahaulika Cha General Mzee, General Komu.Mimi naona kifo kilichomgusa zaidi kuliko vyote ni Dammang kaka yake pamoja na Ha Muji. Kama nipo sahihi vifo hivi ndio nilimuona akitokwa na machozi...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kifo Cha Huyu Mzee Kilinisikitisha Sana Ukizingatia Ndiye Alikuwa Generali Mbobevu Wa Vita Na Ndiye Aliyewalea Akina Damdeok Wakiwa Wadogo Ikiwemo Kuwafundisha Mbinu Nyingi Tu Za Kijeshi Na Mapigano.
Mchango Wake Hauwezi Kusaulika Katika Maisha Ya Damdeok Kwa Ujumla Na Hata Alipokufa, Alikufa Kifo Cha kishujaa Sana Wakati Anaitetea Ngome Isiyoingilika (Impregnable Fortress) Yodongseong. Alikuwa Loyal Sana Kwa Taifa La Goguryeo Na Alipigana Vita Nyingi Sana Kiasi Cha Kuathiri Afya Yake.