Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sijawahi kumwona kwenye Drama aliyoigiza akiwa Zwazwa.
Nadhani katika Drama ambazo huyo mzee ameigiza kama 'Binadamu Mnyonge" mojawapo ni Project moja iitwayo, Innocent Man.

Humo ndani aliigiza kama mtu mwenye huzuni nyingi asiye na matumaini ya kesho yake.

Uhusika wake ingawa ni kwa muda mfupi, kwa namna moja ama nyingine ulimfanya kila mtazamaji kumsikitikia ama kumuonea huruma.
 
BLACK DOG

Kwa ambaye bado hujaanza kuifuatilia Project hii ama ndiyo umeanza hivi sasa, nakukaribisha sana!

Hii ni Project ambayo kidogo imetanguliza simanzi machoni petu sisi watazamaji hususani pale ambapo muhusika wetu mkuu aliponusurika kifo katika ajali mbaya ya basi katika kipindi cha maisha yake ya utotoni.

Mbaya zaidi, kitendo cha binti huyu mdogo, Haneul kuokolewa katika ile ajali mbaya, kunasababisha kupotea kwa maisha ya mtu mwingine aliyejitolea kama sadaka kumuokoa Haneul. Si mwingine bali ni mwalimu Young Ha aliyekufa katika ajali hiyo baada ya mlipuko mkubwa kutokea katika basi hilo lililoanguka.

Maisha yanazidi kuwa magumu hususani kwa familia ya mwalimu Young Ha aliyekufa katika ile ajali.

Hiyo ni baada ya wafiwa kutokabidhiwa kiasi chochote cha fedha kama fidia kutokana na kifo cha mwalimu huyo na hilo ni kwa sababu, kisheria, mwalimu huyo hakuwa muajiriwa rasmi katika shule hiyo, yaani alikuwa ni mwalimu wa muda mfupi (short-term).

Sheria hiyo inazua mgogoro mkubwa sana katikati ya shughuli za msiba kati ya wafiwa na bodi ya wasimamizi katika shule ambayo Bw. Young Ha alikuwa akifanyia kazi.

Nisimalize uhondo. Hiyo ni kwa ufupi tu kuhusiana na matukio machache ambayo kwa namna moja ama nyingine yameleta simanzi machoni petu kama watazamaji hususani mwanzoni kabisa mwa Drama yetu ya Black Dog.

Changamoto ni nyingi bila kusahau 'Visa' vya hapa na pale.

Karibu sana tuendelee kuifuatilia!

8fd44d09f4de46edb637e28e5115ea85.jpg
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net


======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
Drama yangu bora ni Healer na City hunter ni za mjini na zina action pamoja na mapenzi. napenda story zake zimepangika.
msanii wangu wa kwanza ni Ji Chang-Wook (Seo Jung-Hoo) katika drama ya healer pia ameigiza K2, Empress Ki , Warrior Baek Dong-soo (2011) na City Hunter ya Lee Min hoo pia kaigiza "Boys Over Flowers", "The Heirs" and "The Legend of the Blue Sea".
sexiest Actor kwangu ni Ji Chang-Wook na Lee Min Hoo.
Drama yangu ya kwanza ya kikorea Yellow Boot.
Natafuta drama ya "you are a gift (you are my present)" pamoja na "my heart twinkle twinkle"
 
Drama yangu bora ni Healer na City hunter ni za mjini na zina action pamoja na mapenzi. napenda story zake zimepangika.
msanii wangu wa kwanza ni Ji Chang-Wook (Seo Jung-Hoo) katika drama ya healer pia ameigiza K2, Empress Ki , Warrior Baek Dong-soo (2011) na City Hunter ya Lee Min hoo pia kaigiza "Boys Over Flowers", "The Heirs" and "The Legend of the Blue Sea".
sexiest Actor kwangu ni Ji Chang-Wook na Lee Min Hoo.
Drama yangu ya kwanza ya kikorea Yellow Boot.
Natafuta drama ya "you are a gift (you are my present)" pamoja na "my heart twinkle twinkle"
😂 Miye nilianza na "Jumong" mwaka 2007/08 Enzi hizo ITV. "LEE TAE GON" nadhani alinivutia hasa alivyocheza "KING GWANGGAETO THE GREAT CONQUEROR"
 
Nilianza A man called God hata sikuipenda hasa kale kajamaa kaliko ng'ang'ania jina la peter pan,ya pili city hunter hii iliniteka balaa kisha jewel in the palace ndani ya channel ya capital
😂 Miye nilianza na "Jumong" mwaka 2007/08 Enzi hizo ITV. "LEE TAE GON" nadhani alinivutia hasa alivyocheza "KING GWANGGAETO THE GREAT CONQUEROR"
 
Nilianza A man called God hata sikuipenda hasa kale kajamaa kaliko ng'ang'ania jina la peter pan,ya pili city hunter hii iliniteka balaa kisha jewel in the palace ndani ya channel ya capital
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.

1. JUMONG

2. QUEEN SEON DEOK

3. IRIS

4. KINGDOM OF THE WIND

5. SWALLOW THE SUN

6. CITY HUNTER

7. A MAN CALLED GOD

8. THE LEGEND

9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)

10. KIM SURO

11. DONG YI
 
Hio jumong nilikua naisikia tu watu wakihadithiana enzi hizo hata sina mpango wa movie zaidi ya vitabu.

1,2,4,10 bado sijaziona. Ila iris niliiona enzi sijakariri sura za actors na actress wa kikorea.

Korean drama nzuri sana.
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.

1. JUMONG

2. QUEEN SEON DEOK

3. IRIS

4. KINGDOM OF THE WIND

5. SWALLOW THE SUN

6. CITY HUNTER

7. A MAN CALLED GOD

8. THE LEGEND

9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)

10. KIM SURO

11. DONG YI
 
Weekend mpaka new year ndani ya

Suspicion partner

She was pretty

VIP

The three musketeers

Hapa nilipo namalizia
Sword and flower(blade and the petal) ni historical ila ipo slow haina amsha amsha ina mapinduzi ya kizembe

Wale wa huko telegram mtanisamehe maana sina account huko na sijawahi kuitumia

Sehemu rahisi ya kuvuta korean movies ni kissiassian kupitia download engine zipo za kutosha playstore esp all video downloader(ila ina matangazo tele)
 
she's back
Kim Tae Hee’s Upcoming Drama Holds First Script Reading
Hi Bye, Mama!”
is a fantasy drama from tvN about a mother who returns to her family as a ghost after passing away in a tragic accident. Kim Tae Hee plays the titular character, Cha Yu Ri, and Lee Kyu Hyung plays her bereaved husband Jo Kang Hwa.

Hi Bye, Mama!” will premiere in February 2020 after the end of “Crash Landing on You.”
1577545663220.png
 
Lee Dong Wook And Jo Bo Ah Confirmed To Lead New tvN Fantasy Drama
On December 26, it was confirmed that the actors will be starring in “Tale of Gumiho” (working title), which will be the first drama to feature a male gumiho (a mythological nine-tailed fox) in the lead role.

The upcoming drama follows the life of the gumiho Yi Yeon, played by Lee Dong Wook, who once ruled as a living god of the Baekdudaegan Mountain Range but now works as a sort of public official between this world and the underworld.

His main job is to clean up the mess left behind by those who disturb the world of the living while hiding behind the guise of ghost tales. He boasts stunning looks, high intelligence, and great athletic abilities, but he has a self-righteous personality and can be violent at times.
1577545930874.png
 
Wapendwa nisaidieni nimeisahau jina hii season ilikuwa bomba sana na wahusika wake ni hawa waliocheza kwenye ya my country....kwenye ile season kisa kilikuwa walikuwa wanagombania ufalme kati ya Kaka mtu na mdogo mtu baada ya mshua kufariki ilifika time mama mtu ikabidi amwambie dogo aondoke kwenye hiyo nchi ili mambo yasiwe mengi coz mshua aliacha waraka wa siri ukieleza kuwa dogo ndiye atakuwa mfalme, tafadhali anaeijua jina anisaidie .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom