Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau vipi kuhusu ile drama mpya ya KIM TAE HEE tayari imetoka?
inategema na drama yenyewe: nitakupa mfano, ijumaa ya wiki iliopita nilikesha usiku kama mlinzi wa ikulu na nilifanikiwa kudownload takribani episode 30, pia nilidownload video tutorials takribani 5 tena hd kupitia youtube na mb zikabakia (usingizi ulinizidi)
Takribani episode zote zilikuwa zinatembea wastani wa mb 160 na video quality ilikuwa ni 360. Nilipojaribu kudownload episode 1 ya damo drama nilikuta imebeba takribani mb 230 na video quality yake ni 360 hatimaye nikaachana nayo.
kwa hizi drama zenye episode 16, kama episode inabeba size ya mb 130 -170 kwa video quality ya 360 basi unaweza kudownload drama 3 na bando likabakia japo gb 1.5.
niliwahi kudownload angel last mission drama, one spring night drama baadae nikaziweka telegram kwa siku moja (fahamu ya kwamba gharama ya kudownload na kuapload zinajirejea)
Ahsante ntakuwa natembelea mara kwa mara.si tayari zina Eng.subtitle?wanalo group
Korean Dramas Tz Fans
Itaewon tamu Sana
Bae wa tell me what you saw ananiangusha ila inabid ni keep up nae tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zingine Kama mbili hiv ni zaidi ya hizo inaitwa Innocent defendent na nyingine inaitwa Lasthahaha VAGABOND
Hii Drama wametisha, ni Drama ambayo iko Hot kila episode, unilipokuwa naitazama si tamani episode iishe kila scene hot, Lakini pia imekuwa ikinishangaza kila wakati, yaani kumjua adui mkuu Mr. Samael ( Park Edward) lilikuwa jambo ambalo sikitegemea.
Nadhani hii kitu bado inaendelea kama itaendelea Daemusin nipe ratiba yake.
kiukweli Yi Sung Gi na Bae Suji ( Suzu Bae), hawajawahi kukosea, nawakumbuka hawa enzi hizo kwenye GU FAMILY BOOK. Kiukweli nilikuwa nimemiss madude kama haya.
View attachment 1376794
zifuatazo ni Drama zangu 10 za mjini.
Genre🙁 Action, War &Thriller).
1. VAGABOND
2. BRIDAL MASK
3. LEGEND OF PATRIOTISM
4. IRIS
5. THREE DAYS
6. FUGITIVE PLAN B
7. CITY HUNTER
8. A MAN CALLED GOD
9. TWO WEEKS
10. THE K2
Hivi Numbisa umeolewa?Ruler: Master of the mask
Shopping king Louie
Hivi Numbisa umeolewa?
hahaha Muhenga mwenzangu, Kina Daemusin ndio waliosalia Mabarubaru humu ndani.Miaka 20 iliyopita
Mafanikio
1.Watoto watano
2. Wajukuu wanne
3. Kitukuu mmoja
Ongera Sana aisee Kuna wengine wana nyota ya kunguni Kama dada yetu Wema sepetu ameishia kuchezewa tuMiaka 20 iliyopita
Mafanikio
1.Watoto watano
2. Wajukuu wanne
3. Kitukuu mmoja
Ongera Sana aisee Kuna wengine wana nyota ya kunguni Kama dada yetu Wema sepetu ameishia kuchezewa tu
Mzee baba nisahihishe kidogo drama niliyokutajia Kali inaitwa Innocent defendent sio innocent dependent hiyo ukiangalia kwa umakini utajuta kumaliza bando.Ina matumizi ya akili, Ina ngumi na story yenye kuvutiahahaha Muhenga mwenzangu, Kina Daemusin ndio waliosalia Mabarubaru humu ndani.
Mzee baba nisahihishe kidogo drama niliyokutajia Kali inaitwa Innocent defendent sio innocent dependent hiyo ukiangalia kwa umakini utajuta kumaliza bando.Ina matumizi ya akili, Ina ngumi na story yenye kuvutia
upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.Wewe kijana acha hizo ya kawaida mno. Ile ya bilion hata sijaipenda haijaifikia vagabond hata robo