Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu hna group la series za kikorea kule telegram?
inategema na drama yenyewe: nitakupa mfano, ijumaa ya wiki iliopita nilikesha usiku kama mlinzi wa ikulu na nilifanikiwa kudownload takribani episode 30, pia nilidownload video tutorials takribani 5 tena hd kupitia youtube na mb zikabakia (usingizi ulinizidi)

Takribani episode zote zilikuwa zinatembea wastani wa mb 160 na video quality ilikuwa ni 360. Nilipojaribu kudownload episode 1 ya damo drama nilikuta imebeba takribani mb 230 na video quality yake ni 360 hatimaye nikaachana nayo.

kwa hizi drama zenye episode 16, kama episode inabeba size ya mb 130 -170 kwa video quality ya 360 basi unaweza kudownload drama 3 na bando likabakia japo gb 1.5.

niliwahi kudownload angel last mission drama, one spring night drama baadae nikaziweka telegram kwa siku moja (fahamu ya kwamba gharama ya kudownload na kuapload zinajirejea)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha VAGABOND
Hii Drama wametisha, ni Drama ambayo iko Hot kila episode, unilipokuwa naitazama si tamani episode iishe kila scene hot, Lakini pia imekuwa ikinishangaza kila wakati, yaani kumjua adui mkuu Mr. Samael ( Park Edward) lilikuwa jambo ambalo sikitegemea.
Nadhani hii kitu bado inaendelea kama itaendelea Daemusin nipe ratiba yake.
kiukweli Yi Sung Gi na Bae Suji ( Suzu Bae), hawajawahi kukosea, nawakumbuka hawa enzi hizo kwenye GU FAMILY BOOK. Kiukweli nilikuwa nimemiss madude kama haya.

images.jpeg.jpg

zifuatazo ni Drama zangu 10 za mjini.
Genre🙁 Action, War &Thriller).

1. VAGABOND

2. BRIDAL MASK

3. LEGEND OF PATRIOTISM

4. IRIS

5. THREE DAYS

6. FUGITIVE PLAN B

7. CITY HUNTER

8. A MAN CALLED GOD

9. TWO WEEKS

10. THE K2
 
View attachment 1376794

zifuatazo ni Drama zangu 10 za mjini.
Genre🙁 Action, War &Thriller).

1. VAGABOND

2. BRIDAL MASK

3. LEGEND OF PATRIOTISM

4. IRIS

5. THREE DAYS

6. FUGITIVE PLAN B

7. CITY HUNTER

8. A MAN CALLED GOD

9. TWO WEEKS

10. THE K2
Kuna zingine Kama mbili hiv ni zaidi ya hizo inaitwa Innocent defendent na nyingine inaitwa Last
 
Wewe kijana acha hizo ya kawaida mno. Ile ya bilion hata sijaipenda haijaifikia vagabond hata robo
Mzee baba nisahihishe kidogo drama niliyokutajia Kali inaitwa Innocent defendent sio innocent dependent hiyo ukiangalia kwa umakini utajuta kumaliza bando.Ina matumizi ya akili, Ina ngumi na story yenye kuvutia
 
Back
Top Bottom