Kweli tumetofautiana kwa upande wangu "Innocent defendent" ni best kuliko drama yoyote niliyowahi kuona kwanza kabisa Ina matukio ambayo ni unpredictable alafu pia Ina matukio ambayo unaweza kujifunza katika maisha na kila episode inapoisha inakupa hamu ya kuangalia episode inayofuata.Hii ndio drama niliyoangalia episodes nyingi kwa siku moja Kuna siku niliangalia episode 11 kwa siku moja kitu ambacho sikuwahi kufanya.upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.