yoo dong geun
huyu mzee nimeangalia project zake zifuatazo
- jang do jeon
- gu family book
- the banker
- athena goddess of war
- the most beautiful good bye in the world
mwaka 2020 nimejiwekea lengo la kuangalia
korean family drama japo chache na ni zoezi ambalo limekuwa likinishinda mara kwa mara.
mwaka 2019 nilijaribu kuiangalia
my only one drama na
father is strange drama ila bahati mbaya zote kwa pamoja sikufika hata episode no 5.
nimepata mbinu mpya ya kuweza kunishajihisha kuziangalia family drama ila sina uhakika kama itakata kiu yangu, mbinu yenyewe ni kuangalia project za waigizaji wenye mvuto kwenye nafsi yangu.
hivyo basi nimeanza na
yoo dong geun ahjussi, nimetafuta project zake mbili zenye maudhui ya kifamilia (
marry me now drama na
what happens to my family drama) na kila mmoja nimezitafuta episode 5 za mwanzo.
kama wewe ni mpenzi wa family drama basi zitafute hizo project nilizozitaja hapo juu, fahamu project zote mbili kwa miaka tofauti zimempa tuzo ya daesang (muigizaji bora wa mwaka) bwana
yoo dong geun kupitia KBS drama awards.
View attachment 1384515
nikipata muda nataka kuihifadhi
My Kids Give Me a Headache drama
- Shall We Live Together at Dramanice
- What Happens to My Family at Dramanice
- Childless Comfort at Dramanice
TWENDE NA FAMILY DRAMA......