Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sema unaangalia za kiboya ndomaana nenda kacheki hizi nitakazokutajia drama za Korea Vagabond, Innocent defendent, The Last, The empress ki alafu ulete mrejesho.
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.

Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.

Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
 
Sasa hapa umefuata nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa huu uzi wetu kimekuleta nini mkuu?? Au ndio thinking out loud ??!

Nadhani shida inaanza pale tunapovuka mipaka. tujifunze uwastani.
Hizi Thread zinavichwa vya Habari ambavyo zinabeba maudhui ya Nyuzi hiyo, kwanini wewe usiingie kwenye Thread ya huko Hollywood?.
Jambo la msingi ni kuheshimiana tu, ndugu.
Majivuno hayajawahi kuwa msaada kwa binadamu zaidi ya maangamizi kwake.
Wacha sie tule tupendacho nawe ule upendacho.
Comfort is what we all seek in this life.
 
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.

Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.

Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.

Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.

Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
 
Kiufup siwez angalia kitu yenye subtittles au iliyotafsiriwa, yaan inanichefua.

Mi kabla ya kuangalia movie or series naangalia kwanza the company that distributed the movie or produced. Kama sio holywood kampun kubwa siangalii.. Yaan naona itanipotezea muda tuu.

Its like brands, kuna mwingne hawez kua na sim aina flan, or kuna mwingne hawez kabisa angalia TBC, or mwingne wasaf, things like that yan.
Huku umefata nn sasa

Naheshimu mtazamo wako mfano me siangaliagi clouds media na star tv Kama vile ambayo siangaliagi movie za kihindi na tamthiliya za kifilipino ila unachokosea kwanini uje huku ukiwa upendi Korean drama?
 
Kwa wale wanaotumia Uc browser. Ili kuset ziingie episode nyingi kwa wakati mmoja badala ya tatu

Angalia mistari mitatu(hio iliyopo hapo mwanzon kwa chini)bonyeza hapo kisha zitakuja option kama bookmarks,history,angalia chini yake kuna alama ya v pemben yake kuna dunguli la settings,bonyeza italeta options kibao nenda download setting weka namba utakazo(mwisho huwa 6)

Ukitaka isiwe inakuuliza kuhusu kudownload unaweza kuset hapo kwenye new task.

All the best
 
Back
Top Bottom