Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kuna ileeee nimeisahau ya wamarekani na wakorea(ambao walikua wananyanyaswa na wajapani) haikua na romance ni historical
maajabu ya corona inawaathiri mpaka watu weusi....
mjinga wewe leo hii ndio wa kuomba msaada wa kutajiwa historical drama zisizokuwa na maudhui ya kimapenzi ndani yake.
aigoooo huenda hii account yako imevamiwa na polepole.
au huenda comment yako nimeielewa vibaya (huenda umekusudia modern drama zisizokuwa na romance ndani yake)