Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

unataka kugombania nyadhifa uchaguzi ujao, basi tukutane kwenye kampeni (nimeshaandaa kontena la vitenge, fulana na za kuwahonga wapiga kura), mwenzangu umeandaa jambo gani (au ndio siri hapewi mpinzani)?

kwenye hiyo list ulioiweka inaonekana unavutwaa zaidi na spy drama zenye kubeba dhima ya diplomasia.

  1. Dae Mul = (siasa)
  2. chief advisor season 1 and 2 = (siasa)
  3. iris 1 and 2 = (spy, thriller)
legal drama
  1. diary of prosecutor
  2. stranger (secret forest)
  3. lawless lawyer
  4. my lawyer Mr jo season 1, 2
  5. suit drama
  6. whisper
  7. witch at court
  8. innocent defendant
  9. confession
  10. your honor
Na Hyena Pia Imejaa Mambo ya Sheria.
 
wasukuma (miaka yenu ya kujimambafy imewadia)

nasikia ndege zetu munazitumia kupakia vipolo (viroba) vya unga wa sembe
Unaazimishia Wapi Kumbukumbu Ya Leo. Ulojo Upo?

Siunaona Tunavyojimwambafy Kwenye Mawe Yetu Yale Na Vijiwe Vyetu Vya Kaawa.

Sasa Kama Ndege Hkuna Wa Kupanda Je!
 
ooooooh! kumbe yule mtu mweusi alikufa siku ya leo.
karantini ya korona imeniweka nyumbani muda huu.
siku hizi tunakula viazi mbatata vilivyo kaangwa (unachanganya chumvi, pilipili, ndimu, ukwaju, tomato)

yule jamaa kichwa chake ni kizito, nahofia tabia yake ya kulala kwenye mawe itapelekea apasue kichwa chake
Mi Nishajitoa Simo.

Ntakuletea Uji Wa Muhogo Ukiwe Kule Karantini Kwenyewe.
 
ni kwa sababu bado ombi lako limejaa udhaifu, hizo drama za kileo pia zipo zenye ladha tofauti (hapo kwenye bandiko lako hujaweka categories zinazokuvutia)

action, criminal and investigation, law, comedy, rom-comedy, romantic,medical, siasa n.k.


wakorea pia wana project nyingi sana,
ubora wa project huamuliwa zaidi na muangaliaji na si aliyependekeza (yawezekana bwana X amevutiwa na project A lakini bwana Y project A imegeuka chukizo kiupande wake)

cha kufanya ni kutia mkono kwenye shimo, ukibahatika utapata dhahabu na ukighafilika utatafunwa na nyoka.
Mkuu umetumia nguvu nyingi kutokunijibu

Anyway nashukuru
 
kivipi brother?
labda ulitaka nikuwekee list ya drama bila ya kufahamu category inayokuvutia?
Nimetoka Kuimaliza Money Heist Mida Hii Na Nimeangalia Video Inayoonyesha Walivyotengeneza.

Nikajisemea Wanaokosoa Kazi Za Hawa Watu Mungu Anawaona, Watu Wanafanya Kazi Acha Watu Wanahangaika Kutengeneza Izi Show, Kazi Za Mikono Na Vichwa Vyao Acha Ziwalipe.
 
Daemusin
Ahsante!
Natamani tuishi jirani tuwe tunashare bunifu hizi tamu.

Siasa hapana, nine his a Gaulish a kidogo kugombea, isipokuwa ni maisha yetu na inaatusaidia kufahamu mawazo ya kisiasa miongoni mwa mataifa ya kipato cha kati.
Dr.stranger imeeleza ukweli WA maisha ya rais na wazir Mkuu WA S.Korea kwani wazir Mkuu 2004 aliendesha impeachment kwa rais
Lakin bado napenda namna wanvyoandaa miswada yao wanazingatia weledi, uhalisia Pamoja na utengamano wa kimataifa.

Kwa drama zote za Korea tunagundua namna wanasiasa wanvyofanya ambavyo kimsingi mambo yanalingana, pia ucheshi na mshikamano wao ni tofauti na wakiafrika

Wanafurahisha na kufundisha tofauti na ulaya kutokana na ukweli kuwa wao wapo dunia ya kwanza lkn Korea ni watu tunaolandana
 
Jamani hii Marry Me Now karibu itanifanya kichaa na my colleague, kuna wakati mpaka tunajisahau tunacheka kwa sauti SMH 🤦‍♀️

Mpaka Itaewon naiona imepooza.
Hii ni drama bora kabisa, highly recommended
Scene nizipendazo ni za Madame Lee na shoemaker wake Park Hyo Seob (Napenda Madame Lee akiitamka)
Haki Madame Lee ni mrembo, true definition ya classy lady anakuwaje, OMG I love her

Hakuna jambo niliudhika kama familia ya Park Hyo Seob walipoingilia mahusiano yake na kumcontroll, hata hivyo utulivu wa Mr. Park na namna alivyohandle hilo nimejifunza mengi sana.
Ngoja niendelee mie, ndio kwanza nipo Ep. 19
[emoji111]️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani hii Marry Me Now karibu itanifanya kichaa na my colleague, kuna wakati mpaka tunajisahau tunacheka kwa sauti SMH [emoji2356]

Mpaka Itaewon naiona imepooza.
Hii ni drama bora kabisa, highly recommended
Scene nizipendazo ni za Madame Lee na shoemaker wake Park Hyo Seob (Napenda Madame Lee akiitamka)
Haki Madame Lee ni mrembo, true definition ya classy lady anakuwaje, OMG I love her

Hakuna jambo niliudhika kama familia ya Park Hyo Seob walipoingilia mahusiano yake na kumcontroll, hata hivyo utulivu wa Mr. Park na namna alivyohandle hilo nimejifunza mengi sana.
Ngoja niendelee mie, ndio kwanza nipo Ep. 19
[emoji111]️


Sent from my iPhone using JamiiForums
Inakufundisha Kupenda na kutetea penzi lako licha ya vikwazo.
Inatufundisha pia maisha ya familia namna ya kuishi yaani kutegemea

Usisahau part two take. What happens to my family
 
Back
Top Bottom