talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Kama faith ipoSijaiangalia nasubiri iishe ila natamani iwe kama faith kuliko legend of the blue sea(sikuipenda too much fantasy)
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama faith ipoSijaiangalia nasubiri iishe ila natamani iwe kama faith kuliko legend of the blue sea(sikuipenda too much fantasy)
Asante mkuu, unaweza nisaidia na more sites za kudownload hizi drama ukiacha na alizotoa mtoa uzi, kama zipo lakini, au wewe unatumia website gani kuzidownloadkuchekesha tu?
haya bwana kila la kheri
- waikiki season 1
- waikiki season 2
- modern farmer
- High Kick Through The Roof
- 30 but 17
- personal taste
- My Name Is Kim Sam Soon
- Fight for My Way
The world of the married anayeifatilia tafadhali[emoji4]
Damo na Two weeks zipo vizuri sanaProject ambazo nimezitazama Tangu January 2020 mpaka sasa-:
3 Days
Princess' Man
Two Weeks
Healer
Vagabond
Waikiki
Waikiki 2
While you were sleeping
Damo
East Of Eden
Strong Woman Bong su
Modern Farmer
Shine Or Go Crazy
Perfume
Money Game
Haya asilimia ngapi ni mbovu au nzima?
Hiyo Damo inauongo mwingi kupaa kwa Sana,eti mtu karushiwa kitone Cha maji karushwa as if kapigwa na bomuDamo na Two weeks zipo vizuri sana
😂😂😂ni kweli mzee katika action wametudanganya sana ila story yake iko poa.Hiyo Damo inauongo mwingi kupaa kwa Sana,eti mtu karushiwa kitone Cha maji karushwa as if kapigwa na bomu
Kwangu mimi nimeangalia drama chache sana za Korea.Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Nilipoona tu mtu karushwa kwenye ep 1 na tone la maji nikaishia hapo hapo na sikuiangalia Tena sipendi utani mie.😂😂😂ni kweli mzee katika action wametudanganya sana ila story yake iko poa.
Ahsante Chingu.kwa mwenendo huu ni bora corona imalizike kwa sababu imeshatuadhibu vya kutosha, inachofanya kwa nyakati hizi ni kutukomoa sisi malengendary wa mapira ya ulaya.
teh teh teh
good morning my brother from the theatre of dreams.
sijui nimeandika kwa usahihi hiyo sentensi ya kiingilishi kwa msaada wa Grammarly application.
Hakika mkuukwa mwenendo huu ni bora corona imalizike kwa sababu imeshatuadhibu vya kutosha, inachofanya kwa nyakati hizi ni kutukomoa sisi malengendary wa mapira ya ulaya.
teh teh teh
good morning my brother from the theatre of dreams.
sijui nimeandika kwa usahihi hiyo sentensi ya kiingilishi kwa msaada wa Grammarly application.
When weather is fine ni uharibifu wa MB kwa upande wangu.
Lol, basi mi nliipenda, yaani ni zile drama ambazo hazina extra ordinary story ila unataka tu kujua next episode itakuaje
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulimsemo Wa Wapendanao Wakigombana Ushike Jembe Ukalime Ndo Unaoenda Kutokea Kwenye Familia Ya Sun Woo Na Psycho.
Tutaeka Wapi Sura Zetu.
Sun Woo Katuangusha Kwenye Hii Episode Tusompenda Psycho.Mimi bado sijaangalia episode 12 jamani Daemusin fanya kushusha mzigo niingie kwenye mjadala mie 🤦♀️
Sent from my iPhone using JamiiForums