Kheri007
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 289
- 475
Son ye jin nilizoea kumuanglia kwenye personal taste nikjaa kumuona huku kwenye crash landing on u kabadlika kinomaNiliona BBC wameripoti kuhusu North Korea ku dis hiyi drama.
Ila all in all hawa jamaa wako professional sana na kazi zao, yaani ile drama imenichukua sana kimawazo mpka nikahisi hawa jamaa ni hatari sana. Ebu fikiria yale majengo ya North Korea kwenye drama walivyo yaandaa aisee ni hatari sana. Kuna vingi sana nimeona na nimejifunza sana kutokana na hiyo drama, nadhubutu kusema ile drama ndio bora kwangu.
Yule dada Son Ye Jin ni noma sana aisee, unajua huyu dada ameniliza sana.! Huyu dada ana hisia kali sana kwenye kuigiza, ile scene Hyun Bin na wenzake wanarudishwa kwao Korea Kaskazini aisee nilipenda sana yale maneno anamwambia mpenzi wake.
Sema hii crash landing ni nzuri mno huwezi amini kila siku naianglia hasa zile scene za north kuna yule maza wakuitwa wol suk ananifurahisha sana bila kumsahau pyo chi su[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]