Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Kwenye Haya Mudhui Sasa Itafute Hii Vincenzo Uone Uandishi Wake Umu Ndani Kwenye Kucheka Unacheka Uku Unatoka Na Kitu Na Ni Moja Ya Drama Bora Kwa Joong Ki Alizowai Cheza.Sijalinganisha labda ujasoma vizuri comment yangu ujumbe wangu unamaanisha bongo movies wajifunze kupitia drama za korea wanaweza kujifunza hasa ubunifu wa wenzetu hasa kwenye utengenezaji na maudhui kiujumla.