Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sijalinganisha labda ujasoma vizuri comment yangu ujumbe wangu unamaanisha bongo movies wajifunze kupitia drama za korea wanaweza kujifunza hasa ubunifu wa wenzetu hasa kwenye utengenezaji na maudhui kiujumla.
Kwenye Haya Mudhui Sasa Itafute Hii Vincenzo Uone Uandishi Wake Umu Ndani Kwenye Kucheka Unacheka Uku Unatoka Na Kitu Na Ni Moja Ya Drama Bora Kwa Joong Ki Alizowai Cheza.
 
Samahani ambae anajua telegram channel inayopost hii kitu mpaka ep ya 10 kwenye Eng sub tafadhal naomba
Sisyphus the myth
IMG_20210318_205450_699.jpg
 
Hi.

Natafuta tamthilia hii ya kichina inaitwa Hot Mom! (2013)
Niliwahi kuiona Startimes miaka ya 2018 hivii, ila sikuimaliza. Ninataka kuiona yote ikiwa kamili. Nitapenda nikipata iliyo subbed kwa english, au hata kama imetafsiriwa kwa kiswahili na kiingereza (dubbed)
 
Hiyo hapo lakini ni raw, there is no subtitle
 
Back
Top Bottom