talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Nilikua napata hisia kama mi ndo Yule mdada, nzuri kweliTuacheni msihara Because this is my first life .Bonge la Korea drama ila wengi awajaifuatilia inamaisha ya halisi .Da kweli mapenzi hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua napata hisia kama mi ndo Yule mdada, nzuri kweliTuacheni msihara Because this is my first life .Bonge la Korea drama ila wengi awajaifuatilia inamaisha ya halisi .Da kweli mapenzi hatari
Sawa mkuu, ngoja nizitafute.Sio wameishiwa content sema ni ucahguz wa drama nzuri kwa miaka ya hivi karibun channel nyingi ni kweli hazitoi drama nzuri lakin bado kuna channela kama TVN na JTBC wow hawa naweza nika waita wafalme wa hizi kazi
Kaangalie
Mouse
Vicenzo
Mr.Queen
Kingdom
Crash landing on you
Sky castle
World of married
Hospital playlist
Doom at your service
Youth of may
Mim nilipenda pale yule Kaka alipokua anapewa wosia na mama mkwe wake jinsi ya kuishi na mwanae daa machozi yalinilenga lenga .kumbe ndoa yenye ilikua sioNilikua napata hisia kama mi ndo Yule mdada, nzuri kweli
Kwani kuna drama nyingine ya romantic kama hii ya mjini nzuri umeiona nitajie nikaitazameNilikua napata hisia kama mi ndo Yule mdada, nzuri kweli
Ata Kama za miaka ya nyumaKwani kuna drama nyingine ya romantic kama hii ya mjini nzuri umeiona nitajie nikaitazame
Ni kama sisi tu... Tuna kifungu cha sheria kinachokataza homosexuality?Homosexuality sio taboo kwao sema kwa baadhi ya watu.Ila msimamo wa nchi haikatazi wala sio kosa la kisheria ndio maana kuna ma celleb ambao wako open kua ni gays
Sasa atleast huku kwetu utackia matamko.Infact Korea LGBT ni ruksa na hadi kuna LGBT society.Sema nchi za Asia nyingi zinaona kama taboo but ni ruksaNi kama sisi tu... Tuna kifungu cha sheria kinachokataza homosexuality?
Huku kwetu matamko unayasikia kutoka wap??mamlaka huwa hazitaki hata kuyaongeleaSasa atleast huku kwetu utackia matamko.Infact Korea LGBT ni ruksa na hadi kuna LGBT society.Sema nchi za Asia nyingi zinaona kama taboo but ni ruksa
Ni yaleyale tu....cha msingi ni kwamba ni kitu kinapingwa na watu wengiSasa atleast huku kwetu utackia matamko.Infact Korea LGBT ni ruksa na hadi kuna LGBT society.Sema nchi za Asia nyingi zinaona kama taboo but ni ruksa
Anaongelea matamko ya kina DAB labdaHuku kwetu matamko unayasikia kutoka wap??mamlaka huwa hazitaki hata kuyaongelea
Tuacheni msihara Because this is my first life .Bonge la Korea drama ila wengi awajaifuatilia inamaisha ya halisi .Da kweli mapenzi hatari
Mkuu, hebu nipe majina ya series tatu kali za kikorea za kufanana na Iris na Athena. Nataka nihangaike nazo kuanzia keshoSio wameishiwa content sema ni ucahguz wa drama nzuri kwa miaka ya hivi karibun channel nyingi ni kweli hazitoi drama nzuri lakin bado kuna channela kama TVN na JTBC wow hawa naweza nika waita wafalme wa hizi kazi
Kaangalie
Mouse
Vicenzo
Mr.Queen
Kingdom
Crash landing on you
Sky castle
World of married
Hospital playlist
Doom at your service
Youth of may
Iris2Mkuu, hebu nipe majina ya series tatu kali za kikorea za kufanana na Iris na Athena. Nataka nihangaike nazo kuanzia kesho
Tafuta " I'M SORRY,I LOVE YOU" hautojutia mkuu.Ata Kama za miaka ya nyuma
Duh hyo drama ya mwaka 2004 cwezi iangalia mwaka 2021 japo najua ni nzur ila hizo nilizotaja ni za mwaka 2020Tafuta " I'M SORRY,I LOVE YOU" hautojutia mkuu.
Asante nitaitafuta niicheki mwaka co tatizoTafuta " I'M SORRY,I LOVE YOU" hautojutia mkuu.
Sasa kumbe hujui vitu emotional vilichezwa zamani? Hawa wa leo wanarudia tu.Duh hyo drama ya mwaka 2004 cwezi iangalia mwaka 2021 japo najua ni nzur ila hizo nilizotaja ni za mwaka 2020
Yeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch itSasa kumbe hujui vitu emotional vilichezwa zamani? Hawa wa leo wanarudia tu.
Vipi kuhusu ENDLESS LOVE ya mwaka 2017?Yeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch it
Nimetizama dream high ya 2011 nikafeel unachokisema nimeishia ep ya 2 tu. Nadhan arrogance ya HYe mi, imechangia.Yeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch it