Mmakuti
Senior Member
- Oct 20, 2016
- 168
- 239
Yeon gae somun ipo Drama cool,lakini ni raw(no subtitle)Kaka kwny historical inaonekana uko poa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeon gae somun ipo Drama cool,lakini ni raw(no subtitle)Kaka kwny historical inaonekana uko poa sana
hii elimu mbona imenipitia kushoto au nilikuwa nasinzia kipindi nafuatilia kiundani maisha ya Yi Ui BangNOTE; Yi Songgye mwanzilishi wa Joseon Dynasty alikuwa ni zao la familia ya Yi In, ambaye alikuwa ni mdogo wa General Yi ui Bang. Huu ukoo wa kina Yi ui bang ulikuwa wa Mageneral, maana Baba yao pia alikuwa General, hata Yi Songgye kabla ya kuwa mfalme alikuwa ni General wa Goryeo.
Kaka kwny historical inaonekana uko poa sana
Huku kwetu Pyongyang mambo ni shwari kabisa, ila ni marufuku kuangalia X, Kuvaa jinsi, modo, hereni, panki , kufuatilia movie za kimagharibi na kutumia misemo ya kimagharibi. Huku far east walikuwepo wanafalsafa wengi.waendeleaje kimajukumu na harakati zako za kila siku za maisha?
nimefurahi kukuona tena japo kwa njia maandishi inayonipa imani ya kwamba waendelea vyema kiafya huko uliko. Nimesikia huko kaskazini yule raisi wenu bado anatumia choo cha shimo, eti kuna ukweli wowote juu ya tetesi hizi au ndio muendelezo wa uchafuzi wa mabeberu?
korea ya kaskazini manseh, manseh, manseeehhhhhhh!!!
Bestselling historical epic 'Goguryeo' to be remade into TV series
Author Kim Jin-myung's best-selling historical epic series, "Goguryeo," will be remade into a blockbuster television series.
The dramatic royal narratives set in Goguryeo (37 B.C.-668 A.D.), one of the Three Kingdoms of Korea in the northernmost part of the peninsula, will revolve around five kings ― Micheon, Gogugwon, Sosurim, Gogugyang and Gwanggaeto the Great.
Currently at the screenwriting stage, the show is slated for production with a budget of some 100 billion won ($89.7 million) by the entertainment agency IOK Company, which recently signed a license agreement with the author.
"With a lack of epic historical dramas being produced in the Korean entertainment scene recently, we hope to turn Goguryeo into a Korean version of Game of Thrones," an agency official said.
Currently, six books from the "Goguryeo" series have been released, with the seventh scheduled be published June 14. It will end as a 10-part series next year.
View attachment 1810888
Great Conqueror
Hao watu walikuwa na destiny ya kuitawala. Dunia.hii elimu mbona imenipitia kushoto au nilikuwa nasinzia kipindi nafuatilia kiundani maisha ya Yi Ui Bang
munaendelea kulinda mila na utamaduni usio wahusu kwa nguvu ya mshale, hata hayo masuruali mapana munayovaa mfano wa madeera hayakuwa sehemu ya utamaduni wenu.Huku kwetu Pyongyang mambo ni shwari kabisa, ila ni marufuku kuangalia X, Kuvaa jinsi, modo, hereni, panki , kufuatilia movie za kimagharibi na kutumia misemo ya kimagharibi. Huku far east walikuwepo wanafalsafa wengi.
na itakuwa series ndefu sana itakayobeba kwa mtiririko historia ya wafalme watano.Nilikuwa nimemisss Drama toka three kingdom, Nasubiria hizo kazi.
anaulizia uhusiano wa mpemba na chai iliojaa sukari (shira)Uwanja wa Nyumbani
Unajua hili dude mwaka jana sikulifuatiliaHatmaye Nimeimaliza "The Age of warriors", yenye episode 158. Hii series haikuwaelezea tawala za kijeshi kama ingeelzea zote basi tungekuwa Episode 300 na kuendelea.
Operation Ji Jin hee yaelekea ukingoni
Jambo kubwa lililonishangaza linalomuhusu ji jin hee na tasnia yake ya uigizaji ni hili:
- undercover drama - (8.3/10)
- move to heaven drama - (8.3 /10)
- designated survivor: 60 days drama (8.3/10)
- misty drama - (8.5/10)
- second to last love drama (7.5/10)
- identical affairs drama / I have a lover drama - (9/10)
- blood drama - (6.8/10)
- dong yi drama - (9.6/10)
- jewel in the palace - (9.8/10)
- a word from warm heart drama - (6.8/10)
- the great seer drama :
asilimia 80 ya drama alizoshiriki na nilizoziangalia amekuwa nyuma ya kivuli cha muigizaji mwengine, namaanisha hata kama yeye atakuwa ndiye muigizaji mkuu wa kiume basi stori kwa kiasi kikubwa sana itahusu upande wa mwanamke hivyo hivyo kwa upande wa wahusika wa kiume(the great seer nayo nimeanza kunusa harufu hiyo)
Drama zote hizo nilizoziwekea wino mweusi uliokoza kama utakuwa umeziangalia basi utakubaliana na mawazo yangu
=========================
Hii drama (the great seer) ndio itakayofunga hii kampeni ya kuangalia project zote za ji jin hee zinazopatikana kwenye video streaming tofauti zinazohifadhi korean drama, Nimeshajifunza vya kutosha jinsi taifa la Goryeo lilivyosambaratika na baadae kuzaliwa kwa taifa la Joseon kupitia kwa watoto walewale waliolelewa na Goryeo ila si vibaya kujiongezea maarifa zaidi na zaidi kupitia pembe nyengineyo.
Waandishi wengineo niliobahatika kuangalia kazi zao (six flying dragons na jung do jeon) walijaribu kutuonyesha jinsi gani wanasiasa walishiriki kwa kiasi kikubwa sana katika kampeni ya kuanzishwa kwa taifa la Joseon, ila mwandishi wa the great seer yeye ameamua kunionyesha upande mwengine ambao sikuweza kuufahamu hapo kabla unaowahusu wataalamu wa elimu ya nyota jinsi walivyoshiriki kwa kiasi kikubwa sana kwa kumuunga mkono Yi seong gye katika mpango wake wa kuiangusha Goryeo.
Kinachonifurahisha ni kuona waandishi wote kwa kiasi kikubwa sana hawakwenda kinyume na maudhui ya historia kwa baadhi ya matukio walioyatengeneza kupitia kazi zao, kwa mfano hii episode 1 ninayoiangalia imeanza kwenye tukio lile la yi seong gye kuamua kusitisha vita dhidi ya Ming na hatimaye kurudi mji mkuu wa Gaegyeong.
muandishi wa the great seer kwa hii episode 1 niliyoiangalia amemchora bwana ji sung kuwa ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kumshauri Yi seong gye kurudi mji mkuu wa Gaegyeong na hatimaye akapambane na majaliwa yake (akishinda ni mapinduzi, akishindwa ni uhaini)
ukija kwenye Jung do jeon drama nayo imelielezea vizuri sana hili tukio na sababu zilizopelekea yi seong gye akatae amri ya mfalme ya kupambana kwa lengo la kurudisha ardhi ya liaodong iliokuwa chini ya Goguryeo ya zamani na hatimaye kurudi ikulu kupambana na general choi yeong (niliwahi kuandika huko nyuma mkasa huu), drama zote mbili (jung do jeon na six flying dragon) zilituaminisha ya kwamba sambong (jina lake halisi ni jung do jeon) ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kumshauri Yi seong gye arudi mji mkuu na hatimaye akapambane na majaliwa yake (akishinda ni mapinduzi, akishindwa ni uhaini).
kumbe siku za mbeleni anaweza kujitokeza bwana tukinao akatutengenezea historia ya yi seong gye na kwenye upande wa wana mkakati akamchora mtaalamu wa mapishi wa yi seong ye kuwa ndiye mshauri mkuu wake na isiwe dhambi wala kosa kisheria.
Nimemaliza Vincenzo..sijajua ni kusifiwa sana ndio kukafanya niangalie nikiwa na high expectations au ni vipi..nimeona ya kawaida tu.
Nipo na Mr. Queen muda huu..ngoja tuone
Itafute drama inaitwa mask utafurahi kwa roho yako na utanishukuru binafsi najua taste za drama za Wanawake wanazopenda kama uliipenda Penthouse basi hiyo "mask" utaipenda pia.Hee mimi hainifai....hata hivyo sikuwa na mpango wa kuitazama
Kabisa hiyo Vincenzo ni ya hovyo sana nimeangalia episode 1 tu haikunivutia nikaamua niachane nayo angalia hiyo "Mask" ni Kali Sana utanishukuru sanaNimemaliza Vincenzo..sijajua ni kusifiwa sana ndio kukafanya niangalie nikiwa na high expectations au ni vipi..nimeona ya kawaida tu.
Nipo na Mr. Queen muda huu..ngoja tuone
Kuhusu vincenzo sijui ila Mr Queen niliinjoi sana aisee sikujutia kabisa bando langu. Na ili uinjoi zaidi inatakiwa uweNimemaliza Vincenzo..sijajua ni kusifiwa sana ndio kukafanya niangalie nikiwa na high expectations au ni vipi..nimeona ya kawaida tu.
Nipo na Mr. Queen muda huu..ngoja tuone
Sema tu hukuipenda huna haja ya kuweka hiyo ' hovyo sana' wakati umetazama episode moja tuItafute drama inaitwa mask utafurahi kwa roho yako na utanishukuru binafsi najua taste za drama za Wanawake wanazopenda kama uliipenda Penthouse basi hiyo "mask" utaipenda pia.
Kabisa hiyo Vincenzo ni ya hovyo sana nimeangalia episode 1 tu haikunivutia nikaamua niachane nayo angalia hiyo "Mask" ni Kali Sana utanishukuru sana
Umenifurahisha sana sunbaena itakuwa series ndefu sana itakayobeba kwa mtiririko historia ya wafalme watano.
Nitafurahi sana kama watatuletea wanaume waliolelewa jeju, busan, pyeongyang ndio waziongoze hizo chronicles.
hawa waliozaliwa seoul watuache kwanza wenye jambo letu.
Ina vi comedy sana nayo..nilichoona japo kwa kuchelewa ni kuwa wakorea wana great sense of humor..hata kwa series ya kawaida hutokosa kucheka hapa na pale [emoji1787]Me too(ila mie nipo disappointed hakuna romance[emoji23][emoji23][emoji23]) Ni kweli ni ya kawaida maana wamerahisisha mno mauaji mpaka mtu unaona ni hali ya kawaida na wanaoua hawakamatwi wala kufanya jitihada kubwa kuficha. Story nzima inaendeshwa na watu watatu.
Nilichopendea ni Comedy za hapa na pale ila author ni kama alikua anasikilizia reactions za watazamaji ili arefushe au akatize aweke season two