missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Hofu yangu isije kupoteza ule mvuto wakeMwandishi kamleta pacha wake Logan Lee ambae amepewa muonekano kama American rapper.Yaani rasta na Mi tattoo kibao kitu ambacho kimewakacrisha wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu yangu isije kupoteza ule mvuto wakeMwandishi kamleta pacha wake Logan Lee ambae amepewa muonekano kama American rapper.Yaani rasta na Mi tattoo kibao kitu ambacho kimewakacrisha wengi sana
Mm kusema kweli sikuona haja ya penthouse 3.Sema kwakua ndio drama inayofanya vizur korea sina cha kushangaa after all ni businessHofu yangu isije kupoteza ule mvuto wake
1.Penthouse
Kwa korea drama zilizotoka mwaka Huu na mwaka Jana hii ndio best story ina ubunifu mwingi ina matukio yakuvutia na pia ni unpredictable
2.Memorist
Hiyo Vincenzo ni utopolo mtupu haipo serious ina utoto mwingi haifahi kuwekwa kwenye class moja na Penthouse na Memorist
Dramas za quality & zenye size ndogo kabisa utazipata hapa.
Series - Netnaija
www.thenetnaija.com
P.S:- Adblocker ni muhimu.
pa1 mkuuHii web ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]. Ahsante sana mkuu
Sema ujaiangalia hiyo "Fatal Promise" ungekuwa umeicheki ingekuwa kwenye Top 2 yakoTukirudi Kwenye Uwanja Wetu Wa Drama Nimepunguza Ulevi Sana Kutoka Soju 4 Mpaka 6 Kwa Pamoja Mpaka Chupa 2 za Soju Tena Kwa Kujivuta Lol Kweli Utu Uzima Wapiga Hodi.
Kwa Sasa Nipo na Mine- on going Hii Drama Kwangu Hasa Kwangu ( Hziyech22 Usije Niquote Vibaya) Naiona Ni Nzuri Hasa Kwa Sasa Inahusu Maisha Ya Matajri Na Vingasa Vyao na Imekuja tokea Kati Ya Character Anayechukiwa Zaidi Mi Ndo Nimempenda Lol!
Drama Ya Pili ni Bossam Steal the Fate-On going Na Yenyewe Kwa Upande Wangu Ni nzuri Na Ni Sageuk Drama au Drama Za Vijijini Kama Wengi tuziitavyo.
Ya Tatu ni My Roommate is a Gumiho Nayo Ni Nzuri Pia Kwa Upande Wangu Na Ina Hawa Vijana Wa Seoul in Daemusin Chingu Voice (Bogoshipda).
Na Ya NNE Ni Hospital Playlist 2 Yenyewe Bado Haijatoka Tunasubiri Alhamisi.
Ya Tano Ni Penthouse 3 Makjang Kwa Ubora Wake Naona Sasa Watu Washaichoka Nikiwemo Nimeishia Episode Ya Kwanza tu. Makjang Yamekua Mengi Mpaka Kero Anaua Character ana Warudisha ndo Imekua Kazi Yake.
Taxi driver imekamilikaMnaofuatilia ongoing mnijulishe hizi drama zikiisha
1. Tax driver
2. So I married an antifan
3. My roommate is a gumiho
4. Doom at your service (hii sina hakika kama nitaangalia though)
Tax driver imeishaMnaofuatilia ongoing mnijulishe hizi drama zikiisha
1. Tax driver
2. So I married an antifan
3. My roommate is a gumiho
4. Doom at your service (hii sina hakika kama nitaangalia though)
waendeleaje mwanajeshi wa kukodi wa BTSNiko Zangu Apa Nasikiliza Mikrokosmos Nyimbo Mahususi Kwa Sie Army
waendeleaje mwanajeshi wa kukodi wa BTS
wazee hawajambo
haji manara naye hajambo
kaizer chiefs hawajambo
klopp hajambo
simba hawajambo
kabla hujanikimbia uwe unanitumia ujumbe wa tafadhali nipigie, au hutumii zantel?
Nawezaje pata drama ya LOBBYST
사랑해waendeleaje mwanajeshi wa kukodi wa BTS
wazee hawajambo
haji manara naye hajambo
kaizer chiefs hawajambo
klopp hajambo
simba hawajambo
kabla hujanikimbia uwe unanitumia ujumbe wa tafadhali nipigie, au hutumii zantel?
Wazee Wazima (Mmoja Alobakia).waendeleaje mwanajeshi wa kukodi wa BTS
wazee hawajambo
haji manara naye hajambo
kaizer chiefs hawajambo
klopp hajambo
simba hawajambo
kabla hujanikimbia uwe unanitumia ujumbe wa tafadhali nipigie, au hutumii zantel?
Alikufa huyu dada jamanLobbyist English Sub | KissAsian
Watch and download Lobbyist with English sub in high quality. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
endelea kupumzika kwa amani jang jin young
kansa ya tumbo ilimuondoa duniani akiwa na miaka 35
June 14, 1974 – September 1, 2009
View attachment 1821083