DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
나도 사랑해
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
나도 사랑해
잘잤어?나도 사랑해
네, 잘 잤습니다.잘잤어?
Nitaitafuta mkuuKuna moja ni ya wachina inaitwa Empire and tribes the strom of prophecies
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
MAMAMOOukiwa na muda nakuomba uwatafute hawa wanadada wanne, nakuhakikishia hutojutia kupoteza muda wako.
Hwasa + moonbyul (rapper) + solar + wheein
wapo underrated sana ukilinganisha na wengineo kama vile blackpink ila kiutungaji na uimbaji wenye mchanganyiko wa style na vionjo tofauti hao wadada wanatishia.
wapo underrated ila ni best vocalist kwa makundi haya ya wanawake
baadhi ya ngoma zao nilizozihifadhi kwenye kimeo changu
where are we now aya dingga egotistic gogobebe windflower starry night wanna be myself destiny hip morning no more drama a memory for life another day gleam
ndio alifarikiAlikufa huyu dada jaman
Niliitazama lobbyist
nimesoma hiyo sentensi yamwisho tu, huko mwanzoni nitamtafuta president ng'ombe anisomeeNitawatafuta. Ila Chengine Nilichovutiwa na BTS ni Namna Walikotokea Mpka Ivi Walivyo Leo, Big Hit Ya Kipindi BTS Wanatambulishwa Haikua Na Nguvu Kushindana Na SM na YG Lakini Vijana Hawakukata Tamaa Japo Kuna Makundi Baadhi Yalianzishwa Chini ya Big Hit Yakavunjika Ila Hawa BTS Waliweza Kuvumilia We Mnaenda Kushindanishwa na EXO's Wa Kipindi Kile Lazima Ukate Tamaa..
Ila Park Hyo Shin Atabaki Kuwa Kipenzi Sana Kwangu Kwa Wakati Wote.
Naelewa Apo Nimekugusa, Ila Naelewa Pia Vile Usivyowaelewa Vijana Wangu.nimesoma hiyo sentensi yamwisho tu, huko mwanzoni nitamtafuta president ng'ombe anisomee
jicho langu moja halioni
View attachment 1822540
Ana Kibao Chake Icho- 좋은사람 Achana Nacho Kabisa.nimesoma hiyo sentensi yamwisho tu, huko mwanzoni nitamtafuta president ng'ombe anisomee
jicho langu moja halioni
View attachment 1822540
nawaelewa sana tu ila hawajachukua eneo kubwa la upendo ndani ya nafsi yanguNaelewa Apo Nimekugusa, Ila Naelewa Pia Vile Usivyowaelewa Vijana Wangu.
Karibu Chamani - Sikiliza Rap Ya RM, Suga Na J-Hope Niambie Nani Yupo Vizuri kati Yao.nawaelewa sana tu ila hawajachukua eneo kubwa la upendo ndani ya nafsi yangu
huo wimbo wao mpya waliouachiwa wiki nne zilizopita unaoitwa butter ndio nauangalia muda huu kwa sababu ya hizi stori
pale unapoomba nafasi nyengine ya kutubia haliyakuwa muda umeshaisha.Ana Kibao Chake Icho- 좋은사람 Achana Nacho Kabisa.
nitaifanyia kazi assignment yakoKaribu Chamani - Sikiliza Rap Ya RM, Suga Na J-Hope Niambie Nani Yupo Vizuri kati Yao.
mwendo wa amri kama mwendazake, unajua leo ni Ijumaa. Anyeong kwa muda
Uniombee Na Mimi.mwendo wa amri kama mwendazake, unajua leo ni Ijumaa. Anyeong kwa muda
Nimekomaa nayo nimemaliza..sio mbaya sana japo siwezi recommend kwa mtu.Mmh hapo umepata hasara. Halafu sijui nani aliwadanganya masuala ya season yaani story ilikua inaenda vizuri tu ghafla wakairefusha na kuweka vipande wanavyojua wao wakaishia njiani ati kusubiria season two
Halafu, ina maana mama wa kambo anavutiwa na mwanae kimapenzi?
Haha..mwana ana mahaba na mke wake hadi anakerandio, maana kamuwahisha baba mtu ili amfaidi mwana
Haha..mwana ana mahaba na mke wake hadi anakera